Nwabali siyo golikipa wa standard ya Simba.Pia ni duka kiaina. Kama hawawezi kuendelea na Camara basi wamuache Kasalli.
L
leon.mohaupt3 months ago
kwa sajili ya chobwedo wamefeli kabisa simba
M
michelle.ortega3 months ago
Km ningekuwa mimi ni kiongozi Semfuko ningemwacha abaki SIMBA HAWA WACHEZAJI NI BORA SANA ILA HAWAPATI NAFASI. WACHEZAJI WAZAWA HAWAPEWI NAFASI. LIGI HAIJAISHA WEWE UNAWAKATISHA TAMAA WACHEZAJI HUONI KM HZ MECHI ZILIZO BAKI WATACHEZA VIBAYA?ACHA KWANZA WAMALIZE MECHI ZAO
M
meganmccarthy2683 months ago
CHOBWEDO NI MCHE,AJI MZURI WA NDANI. MBONA ANATUSUMBUA SANA. ACHENI AJE ACHEZE SIMBA. ILA TUWAPENDE WACHEZAJI WETU
L
laurie.morgan3 months ago
Chobwedo kama atakaza atatisha atawashangaza sana watu nacho omba kocha wetu ajitahidi kumpa nafasi Ili awaonyeshe wanaomponda binafsi namkubali sana chobwedo kama atajituma vilivyo
M
madeleinedelahaye6393 months ago
Hii simba itasubiri sana kwa usajili huu, tunarudi kwenye shida ileile.
D
danielle_medina3 months ago
An hao wanaokuja ndyo wanakuja kuharibu team mzima daaah 😮
A
aprilclark9603 months ago
Usajili wa kikuma sana huo
H
hans-willi_kallert3 months ago
Chobwedo wameferi simba niujinga sana
R
rebecca.jordan3 months ago
Lpemba wamwache anajeza kifadha sana
E
eshana.modi3 months ago
Tayari tena ushafika muda wa kudanganywa
C
charles_renard3 months ago
Uyu jamaa simba ilimchukuaga baada yakuwa na ichana simbaaaaa, Simba iliongea naye uyu jamaa alichengi kutoka kuwa mchambuzi nakuwa msemaji.
H
hans-willi_kallert3 months ago
Chobwedo wanini jamani
D
daniel_garcia3 months ago
Sajari za hovyoo kabisaaa
annshah4553 months ago
Na hamna mfungaji
A
andrea_hodges3 months ago
Ila chabwedo hapana jamani mtu anajipiga chenga mwenyewe duu
U
udarshsolara373 months ago
Tunamtaka failasufi feitoto hayo mengine yaziada tu
S
saanvi.sha3 months ago
Simba nani atawashauri chobwedo wakazigani yaani mnafurahia mbio tuu atakuwa kama sowa
B
brianmartin4403 months ago
Yanga vhukueni pmpini kamala Simba mnaua vipaji kina chasambi na barua mliwaleta alafu mnawakalisha tuu
Nwabali siyo golikipa wa standard ya Simba.Pia ni duka kiaina. Kama hawawezi kuendelea na Camara basi wamuache Kasalli.
kwa sajili ya chobwedo wamefeli kabisa simba
Km ningekuwa mimi ni kiongozi Semfuko ningemwacha abaki SIMBA HAWA WACHEZAJI NI BORA SANA ILA HAWAPATI NAFASI. WACHEZAJI WAZAWA HAWAPEWI NAFASI. LIGI HAIJAISHA WEWE UNAWAKATISHA TAMAA WACHEZAJI HUONI KM HZ MECHI ZILIZO BAKI WATACHEZA VIBAYA?ACHA KWANZA WAMALIZE MECHI ZAO
CHOBWEDO NI MCHE,AJI MZURI WA NDANI. MBONA ANATUSUMBUA SANA. ACHENI AJE ACHEZE SIMBA. ILA TUWAPENDE WACHEZAJI WETU
Chobwedo kama atakaza atatisha atawashangaza sana watu nacho omba kocha wetu ajitahidi kumpa nafasi Ili awaonyeshe wanaomponda binafsi namkubali sana chobwedo kama atajituma vilivyo
Hii simba itasubiri sana kwa usajili huu, tunarudi kwenye shida ileile.
An hao wanaokuja ndyo wanakuja kuharibu team mzima daaah 😮
Usajili wa kikuma sana huo
Chobwedo wameferi simba niujinga sana
Lpemba wamwache anajeza kifadha sana
Tayari tena ushafika muda wa kudanganywa
Uyu jamaa simba ilimchukuaga baada yakuwa na ichana simbaaaaa, Simba iliongea naye uyu jamaa alichengi kutoka kuwa mchambuzi nakuwa msemaji.
Chobwedo wanini jamani
Sajari za hovyoo kabisaaa
Na hamna mfungaji
Ila chabwedo hapana jamani mtu anajipiga chenga mwenyewe duu
Tunamtaka failasufi feitoto hayo mengine yaziada tu
Simba nani atawashauri chobwedo wakazigani yaani mnafurahia mbio tuu atakuwa kama sowa
Yanga vhukueni pmpini kamala Simba mnaua vipaji kina chasambi na barua mliwaleta alafu mnawakalisha tuu
Kwani Camara hajapona jamani