MASELE TANZANIA BADO HAIJAPATA UHURU
ADVERTISEMENT
Comments 33
tammy_white:
Yupo sahihi uhuru nchi hii bado
More Like This
17:52
#MAPENZI /ANAMFUMANIA MKE WAKE AKILIWA NA MDOGO WAKE WA DAMU SIKU YAKE YA KUZALIWA.SIRI INAFICHUKA
Comedy
559
0
18:06
SKONGA EPISODE 16 FULL EPISODE
Comedy
1.1k
0
25:51
JOGOO WA AJABU Full Episode [ 12 ]
Comedy
2.1k
0
10:51
GEREZA LA WANYANG'INDO |Episode 43|
Comedy
3.0k
0
1:46
😂😂😂 #funny #funny #comedymove
Comedy
3.8k
0
17:09
WALIVOJITEKA NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
Comedy
4.5k
0
28:03
Chenai Part 4 Mwana Anoda Kuziva Dzinza Rake
Comedy
1.3k
0
1:23:54
They Came to Earth on a Secret Mission… Nothing Went as Planned | Eddie Murphy | Full Movie
Comedy
3.1k
0
You've reached the end
Yupo sahihi uhuru nchi hii bado
Ni ulevi au ukweli???!!!😂😂😂😂
Uhakika 😂😂😂😂😂🙌
Hajakosea bado kweli.
😂😂😂😂😂 acha nifurahi Mimi
Kabisaa maselee yupo sahihi
Yupo sawa kabisa. Maana kama tunajitawala halafu haki za malipo zinaminywa,Haki ya kuchanguwa na kuchaguliwa zinakandamizwa,Haki ya kumiliki Aridhi haipatikani. Mbaya zaidi watawala wanatuuwa wanatuteka sasa kunatofautigani na kutawaliwa na wakoloni. YUPO SAHIHI SANA
TANZANIA AU ULIMAANISHA TANGANYIKA🤔
Tanzania haijapata Uhuru na bado inatawaliwa.
😢😢😢😢
TANZANIA bado haijapata uhuru
😂😂Masele yupo kumbe😂😂
Haswaa tanganyika bado haijapata uhuru, bado. Masele upo sahihi wakuongezee sungura ingine nitalipa
Point sana 💯
Yuko sawa
Kweli kaka
Bangi nyingi.
Kweli haijapata uhuru tanzania
Hajakosea zilizopata Uhuru ni Tanganyika na Zanzibar
Mayemu x warwa