MZEE SAIDI: HAIWEZEKANI KUMFUNGA YANGASC NDANI YA DAKIKA 90 LAZIMA UOMBE DAKIKA ZA MSAADA DUHH!!!
ADVERTISEMENT
Comments 100
jorge_razo:
Binafsi naamini katika Sayansi na mpira ni Sayansi, itoshe …
More Like This
7:39
DICKSON JOB ANYOOSHA MIKONO KWA KOCHA MANQOBA / AKIPA NAFASI NITAPAMBANA, NIPO FITI KUITUMIKIA TIMU
Sports
197
0
3:01
Liverpool 2-1 Atlético de Madrid | HIGHLIGHTS - 2026/27 UCL Matchday 1
Sports
2.8k
0
21:25
EASY WORK! Man United 4-0 Sabah Goldbridge Match Reaction
Sports
3.4k
0
2:20
Champions League Is BACK! | Man Utd 4-0 Sabah | Highlights
Sports
12.2k
0
1:06
Premier League players who made one skill look unfair !
Sports
14.8k
0
5:29:30
LIVE: NSMQ Grand Finale 2026: St Augustine's vs PRESEC BOYS vs Accra Academy
Sports
146
0
5:06
Chelsea 6-3 Leeds United | 26/27 | Carabao Cup - Game highlights | Third Round | SportyTV
Sports
3.8k
0
3:39
HIGHLIGHTS | FC BARCELONA 5 vs 1 FEYENOORD | UEFA CHAMPIONS LEAGUE 26/27 🔵🔴
Sports
15.3k
0
You've reached the end
Binafsi naamini katika Sayansi na mpira ni Sayansi, itoshe kusema jana Yanga Sc hatukuwa na siku nzuri kazini.
Mzeee saidi wewe ni chawa wa yanga
Kazee kanaumia timu yake ya moyoni imefungwa😂😂😂😂
Pesa mbaya sana mzeee😂😂😂😂
We mzee saivi unapoteza watu sababu una uyanga moyoni mwako una lolote njaa zitakuuwa mzee angalia sana kwa ushauli unapoteza watu sana
Waoo mzee wangu nakupenda sana kwa maneno yako.❤❤❤❤
Hahaaa watu wanaongea hisia badala ya mpira hamna kitu hapa
Sasa nimejihakikishia kuwa huyu mzee ni pure utopolo
MZEE UNAONGEA KWA UCHUNGU SANA KISA TIMU YAKO YA MOYONI IMEFUNGWA
We Mzee ni yanga
Huu ndio mpiraaaaaa baba hata hivyo yanga walifunga refa akasema offside
Mzee 😂😂😂 Najua na tunajua umeumia kufungwa timu yako ya moyoni.😂 pole yako.Wewe ni Simba kwa muonekano wa nje tu
Huyo mzee huwa anaongea point lakin anaiheshimu san yanga lakin kwajan yanga ilikuwa mbovu jamn
Sisi waghatia tunakupenda sana 🎉 wasalimie wananchi hapo nyumbani 🟡🟢💛💚🔰🏆
Mzee saidi we ni chawa wa yaanga
Yanga Bado Iko vizur wala aijashuka kiwango semeni Bahati tu alfu wachezaji wamechoka sana anyway inshallah jumatano tutachukuwa
We mzee kadri siku zinavyoenda ndo unazidi kupoteana
Hongera sana mzee wangu.kweli unajuwa sana mpira.Hivi kwa nini usingombee uwe mchambuzi wa mpira.pokea maua yako❤❤❤❤❤❤
Kweli mzee tangu dickson kuumia duh
Mungu akusamehe wewe mee hujui ulitendalo,Njaa imekutoa thamani pole sana