Ona Pacome Alivyovunjwa Mguu πππ Daaah HawaJkt Wametumwa na nani ?#emanuelfaida #nbcpremeireleague
#emanuelfaida #wedding #premierleague
ADVERTISEMENT
Comments 52
joshuachen282:
Mungu yupo pamoja na pacome ni wakati wa sisi mashabiki wa β¦
More Like This
1:11
HIGHLIGHTS | Real Madrid 2-1 Inter | Champions League
Sports
4.3k
0
10:42
AHMED ALLY:LIBASSE GUEYE KUIVAA MIGHT MIGHTY WANDERERS UHURU ADHABU YAKE IMEISHA
Sports
498
41
3:58
β½ Liverpool 2-1 Atletico Madrid [HIGHLIGHTS] Champions League 26/27 β
| Match Simulation/Recreation
Sports
199
0
0:52
Why footballers FAKE their reactions for the cameras π
Sports
3.9k
0
0:18
Pep uses tactics on Haaland π
Sports
8.5k
0
8:32
EXTENDED HIGHLIGHTS - Barcelona Vs Feyenoord 5-1 | Goals & Highlights | Champions League 2026/27
Sports
4.6k
28
2:12:01
LIVE | Al Nassr vs Abha | Saudi Pro League | SportyTV
Sports
1.5k
2
27:31
BARCELONA 5 FEYENOORD 1, MATCH ANALYSIS, RAPHINHA, LAMINE, JESUS, CHELSEA NEWS AND ALL NEWS
Sports
1.8k
91
You've reached the end
Mungu yupo pamoja na pacome ni wakati wa sisi mashabiki wa simba na wengine wote kuweka ushabiki pembeni na kumuombea apone mapema arejee kwenye majukumu yakeπππ
π’π’ mungu atamsaidia
Aiseee mungu amsaidie huyu mwamba pole sana dah inaumaa sana
pole sana mungu atakusaidia
Mungu mjalie Pacome apone
Pole sana chezaji letu
Ila c dhani kama alikusudia
daaah poleni sana wataniπ’π’π’
Eeee MUNGU wewe ukowapi muangalie Pakome Apate Afya njema Amin
Polesana pokome mungu atakuafu
mi ni mshabiki wa simba ila hii inauma sana pole sana pacome
Wametumwa na Simba wachawi hawo Tena washindwe
Dah inauma snaqπππππ
Yesu ni Mungu. okoka
Ajali za kawaida kwenye mpira
Mpira wake kwisha
Hamna Bahati
Mungu amjalie ungane na kina nangu na amza warudi mjengoni,ila sasa
mungu atakuponya shujaa wetu
Waondolewe kwenye ligi warudi kambini...