Bodi ya ligi na TFF wanaharibu ligi wao ndiyo sababu marefa wanapewa maelekezo ili Simba ishinde tunaomba hivyo vyombo vya michezo viache hiyo tabia ya upendeleo kwa Simba
scottarc942 months ago
Tunaonewa sana na marefa
D
daniela_campos2 months ago
Maelekezo!!
danieladams6072 months ago
Ila Mukubali Na Mkubuke Kama Laizmen Agelitowa Uamuzi Wakutikisa Kibendera Isinge Tokea Feisal Kuwaza Kutokea Kupewa Card ♦️ Muelewe Sio Muongee Tuu..
L
laurencebailly2562 months ago
Wazee wa futari 😂
claude.renard2 months ago
Utopolo msaada wenu kwa azam ulifikia wapi?
micheal.turner2 months ago
Badhi ya Marefaree wana haribu mpira wa Tanzania hata referee akipewa adhabu clubu tayari imedhurika au kukosa ubingwa au kukosa ushindi muhimu kwa ku kosa pointi
Mechi ya maerekezo
Bodi ya ligi wanaharibu ligi
Bodi ya ligi na TFF wanaharibu ligi wao ndiyo sababu marefa wanapewa maelekezo ili Simba ishinde tunaomba hivyo vyombo vya michezo viache hiyo tabia ya upendeleo kwa Simba
Tunaonewa sana na marefa
Maelekezo!!
Ila Mukubali Na Mkubuke Kama Laizmen Agelitowa Uamuzi Wakutikisa Kibendera Isinge Tokea Feisal Kuwaza Kutokea Kupewa Card ♦️ Muelewe Sio Muongee Tuu..
Wazee wa futari 😂
Utopolo msaada wenu kwa azam ulifikia wapi?
Badhi ya Marefaree wana haribu mpira wa Tanzania hata referee akipewa adhabu clubu tayari imedhurika au kukosa ubingwa au kukosa ushindi muhimu kwa ku kosa pointi
Achenivujinga na uyanga wenu nyamafu
Mbona huzungumzii matukio simba aliyofanyiwa
SIMBA INATUTIA HAIBU MASHABIKI WSKE PAFOMAS HAKUNA WANATEGEMEA KUBEBWA TU.
Kalia anatualibia mpira 🇹🇿 Tanzania
OYAAAAH!MBONA MANGUNGU HULALAMIKI MALEFA
Aitaki uchambuzi Simba kabebwa
Simba navrefavwao, wamekosa ustaarabu
Yaani wamelamisha simba ishinde
Yanga tv
UYO JAMAA NIMPENZI SIMBA AVUE MIWANI
Lau tukio la lebase guae lingehukumiwa basi kadi nyekundu isingezalika,,, kwaiyo kiini cha tatizo ni umakini wa marefa