HAMIS KABWE KABWE AIBUKIA USAJILI WA SHALULILE NA FEI TOTO SIMBA BALAA MPYA MJINI
ADVERTISEMENT
Comments 5
victoire.lucas:
Hujui unapotosha soma katiba ya simba. Yanga hawana katiba.…
More Like This
10:42
AHMED ALLY:LIBASSE GUEYE KUIVAA MIGHT MIGHTY WANDERERS UHURU ADHABU YAKE IMEISHA
Sports
498
0
3:58
⚽ Liverpool 2-1 Atletico Madrid [HIGHLIGHTS] Champions League 26/27 ✅ | Match Simulation/Recreation
Sports
199
0
0:52
Why footballers FAKE their reactions for the cameras 👀
Sports
3.9k
0
0:18
Pep uses tactics on Haaland 😂
Sports
8.5k
0
8:32
EXTENDED HIGHLIGHTS - Barcelona Vs Feyenoord 5-1 | Goals & Highlights | Champions League 2026/27
Sports
4.6k
0
2:12:01
LIVE | Al Nassr vs Abha | Saudi Pro League | SportyTV
Sports
1.5k
0
27:31
BARCELONA 5 FEYENOORD 1, MATCH ANALYSIS, RAPHINHA, LAMINE, JESUS, CHELSEA NEWS AND ALL NEWS
Sports
1.8k
0
3:48
🔵🔴Barcelona vs Feyenoord (5-1) Extended HIGHLIGHTS | UEFA Champions League
Sports
4.0k
0
You've reached the end
Hujui unapotosha soma katiba ya simba. Yanga hawana katiba. Katiba ya simba imepita na uendeshaji unafuata makubaliano na mwekezaji (memorandum of understanding) ambapo kulingana na.sheria ya makampuni. Mwanachama mwenye hisa nyingi ndiye anakuwa mwenyekiti wa.Bodi. Sheria hii imewekwa ili mwenye fedha aweze kulinda pesa zake. Utaratibu huu ndio ulikubaliwa kwenye memorandum of understanding na serikali haingilii. Hata kwenye kikao serikali iliweka.wazi kuwa muundo wa uendeshaji ni jinsi walivyokubaliana. Ninyi wachambuzi muwe wasikilizaji msipende kupotosha.
Eti kamwe anatembea namafuta😂😂😂😂😂😂
Napenda kusikiliza wachambuzi ila wakisema uongo Huwa najisikia vibaya sana , Kwa Nini unasema uongo na kupotosha uma Maswala ya katiba siyo maswala ya maoni ila ni vipengele na vifungu vya katiba (tusomee vifungu tuone kama vinasema kama unavyosema)
Ushauri sasa hv Mangungu apumzike
Wanachama ndiyo wanaoamua wajiedesheje,hiyo ndiyo kauli ya serikali. Someni vizuri katiba mpya ya Simba harafu ndiyo mtoe ufafanuzi wenu vizuri