Kila mwaka mnasema mtapunguza malalamiko lakini ligi ikianza ni Yale Yale hususan marefarii, wanaoharibu mpira wa Tanzania mnawajuwa na mnawafumbia macho
A
allenanderson4042 months ago
Yeah namna hii ndo inavyotakiwa iwe hata kwa miaka yote ❤❤❤❤❤😢😮😢😮
H
helen_hunter2 months ago
🎉🎉🎉safi sana.nikutoka Mozambique mkowa w Cabo Delgado
M
marthahaven42 months ago
Yaaani huku kwenye teknolojia Yanga ndo tunapenda
R
robinhollow772 months ago
Binafsi Naona Ligi Yetu Ni Ya Ajabu Sana Ligi Imemalizika Julai August Ligi Inalejea Hivi Pre Season Itakuwa Ya Muda Gani Msimu Ujao Tegemeeni Injures Za Kutosha
A
andrew_montgomery2 months ago
VINYESI FC watafungwa sana msimu ujao
L
lucieadam192 months ago
Kusaidia au kunufaisha wengine 😢😢😢😢
S
sallysimmons3452 months ago
Na nyie mfanye haki kwenye matokeo ya uwanjani 😢😢😢
howardandrews3122 months ago
marefari wawe makini 😂
W
william_grant2 months ago
Myaseme na yawe hivyo Match iki hairishwa isi chukuwe mda mrefu kuchezwa sio viporo vingi hadi vina ingiliyana
E
erick_pimenta2 months ago
Naiwe ivyo
A
adán.cuellar2 months ago
kwanini simba sc akishinda FA cup ratiba ya ngao ya jamii huwa inabadirika? au kuliko?😂😂😂😂😂
B
bradley.page2 months ago
marefa wamefanya fiongo lkn wew kma kiongozi wa mpra kmy uon kama iyo fani uiwezi
J
josué_costela2 months ago
Sijui ni nani anayefikiria na kupendekeza hayo madudu-anataja tu,unadhani ni rahisi kiasi gani timu kusajili wachezaji 40? Unawalipa nn kwa mwaka mzima? Mmezifikiriabtimu kama Mashujaa,Mbeya city,Coastal nk..au ndo kwenye mabicgwa yenu mnawaza Azam, Yanga na Simba tu? Kifupi sasa ndo mnaenda kuzuia kabisa timu ndogo,mnaondoa kanisa ushindani,
S
sierrahayes2172 months ago
Mbadirishe kanuni ya timu kunyimwa gori. Ndilo tatizo kubwa. Timu inanyimwa gori mnakaa mnajadil mnafungia marefa huko timu haifaidi chochote.
V
vincent_webb2 months ago
Mfumo wa mavi au
C
cheyenne_brown2 months ago
Rais gan huna hata aibu umekuja kuhalibu mpira wetu