The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : [email protected] Contact : +255 716 051 853
ADVERTISEMENT
The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : [email protected] Contact : +255 716 051 853
Nakubali sana mkuu
Nimekuelewa sana chuma
Mzee unasema ukweli feisal angekuwa mu congo agekuwa mbali sana.
🎉🎉🎉
Babaaaaaaa
Pesa ni nyingi hatuwezi kumpata gilimugisha
Tz ACHENI kujidanganta, hatuna wachezaji WA MAANA kucheza NJE! Kwanini kwanini Samantha alishindwa UK?
Chuma kimeumana
Ila huyu jamaa 😂😂😂😂 ulisha zoea umbeya ukienda kule unafeli unarudi kwenye umbea wako hhhhhh
Punguzeni matangazo
Huyu chizi kabisa huyu.
Upo sawa kabisa card za uanachama ni janga la club lkn wana simba hua hatupendi kukosolewa kwani tumezoeleshwa propaganda kwa kiasi kikubwa
Shida lugha zamafunzo ni Kiingereza na Kifaransa. Wa Tanzania Wengi wanaangushwa na maelezo ya mpira kizungu. Kizungu ni lugha ya sayansi. Hakuna tatizo zaidi ya Hilo. Akitokea anaemudu lugha na utamaduni wa nidhamu ya kazi (sisi tumelemazwa na kutosimamiwa ufuate KANUNI).
Leo ume uliza maswali ma zuri, kila siku ni simba yanga,yanga simba...