EXCLUSIVE:SIMU YA ENG HERSI ILIVYOBADILISHA MAISHA YA BEKI MPYA ABDULNASIR GAMAL MPAKA KUSAINI YANGA
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
ADVERTISEMENT
Comments 83
joe_hammond:
Karibu sana yanga, sisi mashabiki tuko pamoja naww cha msin…
More Like This
1:18
⚽️Morgan Rogers with Opening Goal against Arsenal to send Chelsea Fans wild 😝
Sports
4.3k
0
1:40
Highlights: Porto vs Manchester City | UEFA Champions League MD1
Sports
3.5k
56
0:15
Who will Win the Biggest Match? #barcelona #realmadrid #worldcup #spain #brazil #championsleague
Sports
25.7k
61
1:19
Who can Escape the Zombies but the fence gets really high💀 @bob_reese @cobytatum
Sports
24.9k
100
0:29
😆😆 #roykeane #mufc #manutd
Sports
669
36
4:01
Brilliant Berta Brace! 💥 | Lille 2-3 Real Betis | UEFA Champions League Highlights
Sports
789
0
9:00
FC Porto 0-2 Manchester City | Champions League 26/27 Match Highlights
Sports
2.7k
99
1:05
The Assist Scientists Still Can’t Explain.
Sports
6.7k
21
You've reached the end
Karibu sana yanga, sisi mashabiki tuko pamoja naww cha msingi pambana onyesho ulichonacho jitume na tunategemea mazuri kutoka kwako kama mchezaji kwenye pitch wananchi tunataka furaha na tunakuamini kama mchezaji, kazi kwako bro
Wazanzibar na yanga sijui kuna Siri gan
Mashaallah Alhamndulilah nakuomba Allah mjaalie mchezaji wetu uwezo mkubwa kwenye kazi yake Inshaallah
Asante Eng Hersi kazi nzuri Mungu akupe afya njema
Huyu mchezaji atakua star mkubwa wakutegemea
Karibu sana mwamba kwa wananchi
Beki au winga??
Karibu jangwanj🎉
Nomaaaaaa Saaaana
Karibu sana kaka hii ndo yanga team ya Wananchi
Karibu jagwani mzeee
Sifurahii mchezaji kuulizwa kuhusu mapenzi ya timu haipo vizuri saaana hiii
Kazi kaziiii
🎉🎉
Ikawe heri kwa wachezaji wote maingizo mapya na waliokuwepo kuelekea msimu ujao 2026/2027. Viongozi wanatakiwa waelewe kuwa mashabiki wa sasa wanaujua mpira na wafatilia kinachoendelea, basi wasirudie makosa ya msimu uliopita kusajili wachezaji 14 alafu 4 tu ndo wanafanya vizuri. Ususani sajili za kigeni huko ndiko kuna utapeli mkubwa wanaletwa wachezaji wenye uwezo mdogo.
🎉
Karibu san nyumbn akin hi ni timu yenye presha ukiweza kihimili bas utakua star mkubwa san akin kumbuka ap ukichukua rushwa unaondoka
Good
Karibu sana
Allah baariki