Rais wa Yanga SC, Hersi Said ametambulisha wachezaji wapya watatu kutoka nje ya Tanzania, katika tukio lililokuwa LIVE #azamTV
Wachezaji hao ni Cheikh Ibrahim Toure, Albert Kangwanda na Housseine Zakouani.
Huyu hapa Hersi akieleza sifa za wachezaji hao...
ADVERTISEMENT
Comments 89franklinvelvet77:
Hawa wote wataishia kwenda kudai fifa
Hawa wote wataishia kwenda kudai fifa
Ligi ya Tanzania kweli imepanda samani
Mashine keli😂😂
Asante injinia 🙏🙏
Sawa wata prayers je saudia lig dalaja la ngapii?
Yanga mbeleeeeeeee nyuma mwiko 💪💪💪💚💛💚💛💚💛🎉🎉🎉
shid sio Profile kubwa sis tunataka tuwaone wakifika kwe nye lig ya bongo watafanya vizuri!
Safiiiiiiiuu sanaaaaaaaaaaaaaaa
Muda ndio hakimu mzuri soon maji na mafuta vitakuka kujitenga
Misimu yote yanga ina better training kits kuliko za mechi
Jamaa nimemuona anaujua mpira,namfananisha na dembele
MWAMBA HUYU HAPA INGINIA HERS M,MUNGU AKUPE UMRI MREFU GSM OYEEEEEEEEEEEEE SAPAMPA SAPAMPA
Mungu muweza akulinde awalinde wachezaji wetu na tim yetu Kwa jumla mwakani tena
Hizi jezi ni nzuri sana hata zingekuwa za msimu tungesema tawile
Daima mbele💚💛🙏
Me sisemi kitu wapinzani kazi wanayo... nukuu maneno yangu kisha nitafte siku ya kilele cha mwanainchi yaan YANGA DAY😅
Mmejitaidi kumwaga sifa
Mmmh atufel kwel hap
Saudia timu Gani n inashilik ligi dalaja l ngapi
Lazima mlie2 msimu huu hamna kitu hapo