Usajili wa Jean Girumugisha watikisha Mashabiki wa Yanga sc tetesi zinasema Yanga inakaribia Kukamilisha Dili la Usajili wake.
Sign in to join the conversation
Huyo ripota anajua sana. Ni nani?
girumgisha ndio habari ya mjini kwa sasa
Raisi wetu mlete hyu watu wanazalausana hawaamini kama yanga nikubwa sasaivi mlete hyu tuwafunge midomo hawa watu
Yanga hawana jeuri hiyo Girumugisha hawezi kucheza Yanga hawana pesa Uto