#football #harmonize #kariakoo #kctv #live #news #simba #simbatv #yangasc #yangatv
Sign in to join the conversation
Ndo maana unauza mechi ukicheza na simba
Hawa ndio watu wa Simba wanapaswa kusogezwa jiran na wachezaji ili wajue kuna watu walipambania team pasina kuwa na pesa
Du umetoka mbali
Kweli kabisa ni kwa sasa umoja hamna siku hizi
Ngungu boi naona kiti chake kina moto
Kwa mambo haya Mmetuongeza hasira. Tutawapasua mbaya mbovu Mtajitokeza mmoja mmoja
Nikwer kiongozi julio
Hongera sana
Kk safi sanna
Kweli bro
Nguvu mojaaaa❤❤❤❤
Huwa namkubali sana julio ,kwanza kabisa ni shabiki namba moja wa simba na anajua kuzungumza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤🎉
Ulipata kura tatu kwely 😢😅😅😅😂😂😂😂
Kumbe wee Julio wee ni Simba!!!
Mzee umeongea ukwel uko vizur
Pamoja coach
Hivi atokee kocha azungumze hivi ila upande wa Yanga😂😂
Uchaguzi ujao ndani ya simba ni balaa
Sasa mtu kasomeshwa na Simba alafu ikitokea nafasi za kufundisha Yanga nae ataomba