Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
ADVERTISEMENT
Mchezaji kuhusishwa na Yanga ni jambo moja na kusajiliwa ni jambo lingine. Nchi hii kuna propaganda nyingi tu kuliko uhalisia.
Bola umgemuuliza Geoff Bhan uyo brother nakubali Kam George ambangile hans chawa huyo
Mkai ana roho mbaya sana haipendi kabisa yanga
Mnatuchelewesha Girimugisha Asha saini Yanga...
Nyie Crown ni wanafiki sana kwa Yanga natamani sana mngeacha kabisa kuwanafikia,leo anataka Girumugisha mnasema hana hela ya kumnunua,ameenda South mnasema siyo mchezaji mnataka asajili wachezaji gani nyie?Wakisajili Simba mnaona sawa tu akifanya Yanga siyo kitu.Kuweni fair nyie
Ukijua maana y radio huumiz kichwa,,,we sikiliza habar ,,,,, clown ef,,,❤❤❤
Kuna mmoja hapo anaroho mbaya sana
Hans mwongo 2B mtazıpata wapi mwongo mnö
Hakuna kitu cha kuongelea maana hapa munahisi tu
Mayele hajakutana na Gamondi,kakutana na musonda na baadae guede
Mfano wa hansi siomzuri man ni timkubwa mbele ya new casto
CHAWA WA UTOPOLO UNAUMIA SANA.
Yanga hatumuwezi mugisha
Nyie na uchizi unawasumbua mugisha yanga Wala Simba awamuwezi garama yake na naisi ata ayo mazungumzo ayapo
Bure kabisa 😂 ndoto za mchana
Haibu mtaona nyie
Mnamuuliza Hans masuala ya Yanga, yeye ni nani?
Simba group
❤❤❤❤yanga Africansss
Mbona offer ya yanga haitajwi hio uongo hapo watu wanatafuta kura