Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Sign in to join the conversation
GSM ❤
Leo umeongea point Edo
😄🤣 kwamba GSM anapenda şifa! Baba wa Mbinguni sisi kama waja Wako tunao jielewa kuishabikia YANGA tunaomba utuzidishie FURAHA JANGWANİ 🙏
YANGA bingwa tena 😂 love yooo yangaaa💛💚💛💚. Kama unaipenda yanga gonga like
NDUGU ZANGU WA FOOTBALL NCHINI MNATAKIWA KUJUA KUWA YANGA NDIO TIM TAWALA KWENYE FOOTBALL YA TANZANIA . HIVYO LABDA NISEME TU YANGA BINGWA!!!
Huu ni msiba mkubwa sana MSIMBAZI na hatua muhimu kwenye mipango ya klabu bingwa Africa
32 years mmhh..akiclick bongo anyway..ila namwombea maana ni sehem ya maisha yake
Oscar anaongea kwa maumivu makali Sana hadi macho yake yanaonyesha
Hamtoamini atakavyokuwa wakawaida kama ilivyokuwa Kwa Di maria pale England alivyoenda😂😂
Wewe matako unachafua kiswahili chetu
Hapana osca. Kumbuka Pap Norndo Shaban.
Nyie mnataka amuachie nani sasa
Wewe edo hupendi sifa kama hupendi sifa acha uchambuzi
Huyu mwehu analipwa kwa kazi gani sasa anaongea pumba tu
wekeni takwimu za msimu uliopita
utoporo mwaka huu wameleta magarasa halafu wanalinga mbuz ambazo wamenunua kwa gunia