ππππππaki maisha ya mtandao jamaniπ π π π
dustin_olsen1Β month ago
Mhhhhπππ
R
robinhollow771Β month ago
Mm mwenyewe nashindwa kuelewa maana mara 2 nimepata watoto wang kwa op yale maumivu acheni tu
C
cynthia.horn1Β month ago
Walllaiii uchungu wakuzaa nayoo huwa ziko tofauti jamni muacheni wenzenu kuna wengine huwa wanakimbia wengine hushindwa kusimama ata π’πππ’π’π’π’β€β€β€β€but congratulations to both of themππππππππ
R
reecehopkins4731Β month ago
ila familiar ya sepetu ilichachukaππππ
S
sergioserna5991Β month ago
Wema ni. Miss Tanzania halafu si mnene lakini mwezetu ?π π π π
gaelhenrique_farias1Β month ago
Zuchu it's her first time to experience labour pains and give birth. Wena is mature and has given birth multiple time. Plus pregnancies differ
joseph_guerrero1Β month ago
Hii hospital ndio mavazi ya wajawazito basi hata watofautishe rangiπ’π’π’ kumbe Maimartha jesse alichosema ni kweli kuwa wema na zuchu wamefanya clinick moja kumbe kweli ππππ Mai nakuaminia Ila nakuaminia ila hongera zao
advaithsoni6541Β month ago
Apana kila mtu na mwili wake mm na watoto wanne naumli miaka 23 lakini uwaga nakuwa strong kabla na baada ya kujifungua ni neema ya Mungu tu mim naelewa
πππππππ Wema na Whoz waacheni bhana kila mmoja na uchungu wake na Furaha yake
Wema uchngu alikua nao lakni furaha ilikua zaidii kupitiliza ukianglia mda wote huo alikua anatamanii πππππmtto
Kila mtu na mwili wake mwingine anazaa na anaenda shambani
Jamani kumbukeni wema alikuwa na hamu na hakitarjia katika maisha yake eleweni neema ya MUNGU daah ila watu mnamambo ya hovyo sana
Wema alifanyaga gastric bypass kwa hivyo hata angekulaje asingeweza kunenepa.hebu muwe mnauliza hata AI basi
Unashindwa kuelewa kitu gani hapoπ Tukuelewesheπ€·ββοΈ
Utoke kujifungua utembee hivyo, kweli dada wema ulitupiga na kitu kizito πππ Hapo kwa Zuchu tunamuelewa.. hizo nguvu ulizitoa wap
Chimama na chibaba wamejitahidi sana juu walianza mazoezi mapema ndio maana mwili wa chimama ulikuwa flexible
πππππ hapa nikiongea chochote tu nitaambiwa nitafute hela ngoja nikae kimyaπ€
Usicheze na mshono picha ya kweli mnaiyona
Weka like kama umegundua Zuchu na wema wote wapata watoto katika hospital moja.