MAGORI KAWA MBONGO BAADA YA KAULI YA MANGUNGU 'MIMI NI SIMBA ZAIDI YA MANGUNGU/ HANA MAMLAKA
https://youtu.be/eiH7DvYvRzk
ADVERTISEMENT
Comments 100
michael.campbell:
Jemedari unatumika upande mmoja
More Like This
2:50:15
CAESAR CHANDIGA🇺🇬🇺🇬 Vs JEREMIAH NAIDOO🇿🇦🇿🇦. RUMBLE IN NAIROBI FOR USD 3k
Sports
1.1k
11
1:06
Michael Olise in court over his child support #olise #bayernmunich #football #sports #fifa
Sports
1.5k
100
0:27
“Bernardo is SO SLOW..” – Grealish 😂
Sports
8.2k
29
0:11
AURA Farming 🗿☠️ #volleyball #volleyballshorts
Sports
23.3k
0
5:13
Kaizer Chiefs v Siwelele | Match Highlights | Betway Premiership
Sports
933
27
2:57
Pepe & Ramos Were Football’s Worst Nightmare 💀😭. #football #pepe #ramos #realmadrid
Sports
9.0k
0
2:07
Premier league 5Aside Draft ⚽️👀
Sports
10.5k
100
0:27
This Javier Báez play is still one of the wildest things we have ever seen on a baseball field 😮
Sports
14.2k
100
You've reached the end
Jemedari unatumika upande mmoja
Magori mimi nakuelewa hongera sana good job
Magoli yuko sahihi na anaipenda simba kweli.
Jemedari aliekutuma mwambie Magori ndio simba wa yuda kwa sasa baada ya Hans jemedari umepwaya apo
Leo jemedari na mhoji magoli bila nizamu na mangugu kipindi yupohapo alikuwa na mhojikwa kutengenezea mazingira ya majibu ,
Nazani kilichobakia nihuo mingungu anyang'anywe card sio Simba huyo ameletwa kuleta mfarakano ktk kipindi hichi muhimu
Huyu mangungu ni yanga ndio maana kaka yke amegombea yanga
Yaani inaonekana ni dhahiri kabisa kuwa upande wa bodi,,wana watu wao upande wa wanachama,kwa ajili ya manufaa yao,,sasa kikitokea kikao chcht cha ngazi ya wanachama,, bodi wanahisi kuna mageuzi yanafanyika ili kupindua watu wao ndomana wanakuwa wakali sana,,ila Mangungu yuko sahihi kabisa,,kikao kilikuwa kinahusu Simba upande wa wanachama sio mwekezaji
Kwa leo watangazaji mmekua nidhamu yenu hafifu maana mna muhoji mtu uku mnacheka issue serious hivyo
Kutoka Hansi pop huyu mwamba magori ndo simba mwenye DNA ya simba binafsi ninamkubali kinoma sana
Kwanini mangungu analeta vurugu kila mwaka ndani ya Simba?
Hatumutaki mangungu anatumwa Tena atoke madalakani kabisaa
Nyinyi sio waandishi wa habari nyinyi ni wanafiki sana!
Jemedari leo umezingua sana tena sana
Jemedari, kushaulina ni muhimu na inamaana kupunguza mambo ka ma haya
Jemedari sio mchambuzi wa mpira yaan anaonyesha kabisa yupo upande gan ni aibu sana kwake
Mangungu apishe
Mangungu aondoke
Atolewe mangungu
Mangungu ni mtu wa siasa