maiti #youtubeshorts # #comedy #whowillbemylifepartnerta #youtubetrendingshorts
ADVERTISEMENT
Comments 100
ross.woodward:
Kaka Hongera sana kwa kazi kubwa na nzuri unayofanya ya kue…
More Like This
0:11
this mom knew her sons grew up well ❤️🩹😆 #usa
Entertainment
42.5k
100
0:24
#banaraslitfest #kimpro828
Entertainment
198.1k
0
2:21
Never judge a book by its cover
Entertainment
5.6k
56
0:11
Who Is The Man In This Marriage?😳
Entertainment
19.2k
0
0:42
I also thought he was in his 30s 😬 #twice #kpop #shorts
Entertainment
176.8k
0
1:04:59
ABATTOIR SEASON 6 || EPISODE 13
Entertainment
19.1k
100
0:14
Only for the doctor to wear a mask💔✌️ #relatable #shorts #short #funny #usa #memes #meme
Entertainment
83.2k
100
0:30
Topper Guild Exposed Rumi’s Evil Twin😳
Comedy
6.6k
21
You've reached the end
Kaka Hongera sana kwa kazi kubwa na nzuri unayofanya ya kuelimisha jamii. Maudhui yako ni ya moto na yana elimu ya kutosha. Unafanya kazi ya maana sana, endelea kukaza uzi huo huo!
Jamaa content zake zimeshiba
Zikeni cna million mbili😢
Kwa contents huyu jamaa ns team ake ni noma sana
umetisha broo nakubari sanaa
Wa 6 kazi nzuri
Daa huruma hawanaga hospitali kabisa daa hii imeuma hatari mpaka imenitowa macozi kweli
Daaaaaaah mtian sana
Evi serikali huo ujumbe wameupata!!!
Daaaaah hii kubwa sana mzee 🎉🎉🎉
We jamaa nitafute nazawadi yako content zako hazijawahi kuniacha salama ama nilie au nicheke sana big up sana bro
Sana sana
Kaka hapo patamu
bas uyu watafinya hawamuon lkn wale wavaa vijora na mawingi watawapa sifa tele.
Umetisha mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 salute
Yaani hata kama ni mimi Nawaachia, ikiwa sina uwezo wa kulipa.
❤❤❤🎉🎉🎉 unajua tena unajua broo unafkisha ujumbe vzr
Elfu ishirini ya kununua dawa mpaka nimeuza godoro hiyo milioni 2 naitowa wapi
Hyo imepiga kwenyewe
huyu anafanya kazi nzuri sana anaelimisha watu mno sio yule bilionea G 😂😂😂😂