Jaman guseni basi na youtube yangu hii .much respect sns
B
bradley.page1 month ago
Ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia mama kafariki watoto hawapatani aiseee ni balaaa
D
daniel.cantu1 month ago
Pesa bila ulinzi wa Mungu ni ushetani. Zinaua, zinatenganisha, zinagombanisha na kuleta uadui
J
jilllewis3301 month ago
Brother sky. MUNGU anakupenda sana.
francisca_gonzález1 month ago
Hawa miaka ya zamani kipindi kile cha nyimbo ya onyinye alikufa mama yao na taarifa zilisambaa sana kipind kile kuwa walimtoa maza so sjui ilikua ni rumors tuuu au vip na ndio chanzo cha ugomvi na pia wake zao pia walichangia sana ugomvi huu
S
suzannelloyd4761 month ago
YESU NI MUNGU KAUMBA DUNIA MBINGU NA WATU WOTE MLIOKAA STUDIO
micheal_santiago1 month ago
broo endelea kupambana,wanakuonea kwasababu wewe ni mdogo...hata kwenye baadhi ya familia kwasababu mtu ni mdogo wanaku ignoree....
C
christopher_thompson1 month ago
Mama yao angikua hai sizani kama kuu ugomvi ungefika huku😢😢
S
shawnbird2421 month ago
Ao mapacha nao wamezidi sasa😅😅,khaa,,,eti wametoka mfuko m1😂😂
R
reynaldo_godínez1 month ago
pesa haijawahi kumuacha mtu salama bila kujali undugu, MUNGU atusamehe tu
R
robertvaleon361 month ago
Hao walimuua mamao sasa kazi wanayo😮
C
christopherharper9551 month ago
Koote dunian mambo ya Mal huwa yanakua ivyo badae hasa mambo yakianza kushuka na kuaribika. Iko hv ata kama mnapendanaje msicheze na maswala ya mali yawekeni mbal na udugu na mapenz na urafiki hayana uhusiano kabsa hayo
V
victoire_chrétien1 month ago
Huyu jamaa anaonekana anaongea sana lakn ukiangalia kundani n msema ukweli kabisaaa kabsa anaeleza kitu klchotokea vyema apo
joshuachen2821 month ago
Broo sky mungu akupe maisha marefu nakukubali sanaa🎉🎉
L
laurencebailly2561 month ago
Ikifikia mapacha wanapapurana basi dunia haina usalama.
D
dalton_gentry1 month ago
Hii ndo sns tulisibili...sky 🚶
dustin_olsen1 month ago
Inasikitisha tu ndugu wa damu wanavyogombana kwaajili ya mali
R
ross.woodward1 month ago
Kwani kesi ya jude iliishia wap nan alishinda na je jude alikutwa na kesi ya kutakatisha fedha
Jaman guseni basi na youtube yangu hii .much respect sns
Ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia mama kafariki watoto hawapatani aiseee ni balaaa
Pesa bila ulinzi wa Mungu ni ushetani. Zinaua, zinatenganisha, zinagombanisha na kuleta uadui
Brother sky. MUNGU anakupenda sana.
Hawa miaka ya zamani kipindi kile cha nyimbo ya onyinye alikufa mama yao na taarifa zilisambaa sana kipind kile kuwa walimtoa maza so sjui ilikua ni rumors tuuu au vip na ndio chanzo cha ugomvi na pia wake zao pia walichangia sana ugomvi huu
YESU NI MUNGU KAUMBA DUNIA MBINGU NA WATU WOTE MLIOKAA STUDIO
broo endelea kupambana,wanakuonea kwasababu wewe ni mdogo...hata kwenye baadhi ya familia kwasababu mtu ni mdogo wanaku ignoree....
Mama yao angikua hai sizani kama kuu ugomvi ungefika huku😢😢
Ao mapacha nao wamezidi sasa😅😅,khaa,,,eti wametoka mfuko m1😂😂
pesa haijawahi kumuacha mtu salama bila kujali undugu, MUNGU atusamehe tu
Hao walimuua mamao sasa kazi wanayo😮
Koote dunian mambo ya Mal huwa yanakua ivyo badae hasa mambo yakianza kushuka na kuaribika. Iko hv ata kama mnapendanaje msicheze na maswala ya mali yawekeni mbal na udugu na mapenz na urafiki hayana uhusiano kabsa hayo
Huyu jamaa anaonekana anaongea sana lakn ukiangalia kundani n msema ukweli kabisaaa kabsa anaeleza kitu klchotokea vyema apo
Broo sky mungu akupe maisha marefu nakukubali sanaa🎉🎉
Ikifikia mapacha wanapapurana basi dunia haina usalama.
Hii ndo sns tulisibili...sky 🚶
Inasikitisha tu ndugu wa damu wanavyogombana kwaajili ya mali
Kwani kesi ya jude iliishia wap nan alishinda na je jude alikutwa na kesi ya kutakatisha fedha
Subhanallah
Noma sana