TOBAA! SHABIKI WA SIMBA AFIKA JANGWANI KUNUNUA JEZI/ AUSIFIA UZI WA YANGA NI BORA ZAIDI
````````````````````````````````````````````````````
Facebook Page @chazymedia
instagram @chazymedia
Tiktok @chazymedia
``````````````````````````````````````````````````````````````
Kijana hunaga mbambambaa nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi pokea maua yako
Ya njano nzur bwana
Ikitajwa Yanga Makoloo wanaumia sijui kwa nini
Njaa jamani
Ata haw waandishi hawajielewi wauwez kupat viewers kw kumuhoj chizi
MChome namba 2
Bora kabisa
Huyo ni yanga damdam
Kwani ubora wa jezi ni kitambaa, rangi au nakshinakshi kibao, Ila kwa ubora za yanga Bora, na kama ni nakshinakshi Simba wameweka nyingi
Anatia huruma
Km ww n mshabiki w simba kwel sw ila ongea uhalisia ulivo. Jezi za Yanga za njano n kijani hamna kitu ila nyeusi uhakik
Mlokuw hamna akili timamu nd km ww mshabiki w yanga
SHOBO TU
Kwani come back ndio nini na sofa ndio nn
jezx mbovu acha unafki ww
Ishu za management hazihusian n ubora wa Jezi kiukwel kijani n njano n mbaya cn
Ukweli unao moyoni hahah😂
Kwenda huko ubwa wewe
Ngoma mpya ipo you tube Kiwasha music tz
Blacke is good