SIMBA DAY: Eba hii kali…Semaji Ahmed Ally aingia na simba wawili wa porini…Kila mtu abaki mdomo wazi.
Neno moja tu kwa semaji
Ni shamrashamra za #SimbaDay
#SimbaDay #SimbaSC #Miaka90
ADVERTISEMENT
Comments 100lisaswift313:
Sasa mbona mmewaweka bandani na ni simba wenzenu wafungulie…
Sasa mbona mmewaweka bandani na ni simba wenzenu wafungulieni mshirik pamoja sherehe yenu
Daaaah semaji huyu ni hatari kwa creativity ,safi sana mtaalam hata kama kwenye matokeo hatufanyi vizuri sana
Hahahah ila semajii la simba.linajua bhan 😂😂😂 duuh
Na sisi kesho tutaingia na vyura wetu😂😂😂
Ila tusemage na ukweli tuuu hakuna semaji kama ahmed ally 🎉🎉🎉 huyu ni mtu na nusu
Wao sijui wataingia na vyura wao 😂😂😂
Na wao watakuja na chura ngoja tuone
Sasa mbona mmewafungia ndani ya keji ,waacheni huru nawao waenjoi pamoja 😂😂😂
Kweli Ahmedi Ally anajiamuliaga mambo sana jamn, namkubali semaji la Cuf
kweli we semaji umeinogesha simba day❤❤❤
Du Ahmed umenishinda tabia hongera kwa ujasiri na ubunifu
Haaaaaahaha wao wataingia na vyura vyura wenyewe hawezi nchi kavu cjui
Mimi yanga damu lakini kwahili jama apewe maua yake
Hunabaya nasimbayetu😅😅😅
Wafungulieni sasa muone kitachotokea😂😂😂😂😂😂
Simba nguvu moja
Kweri simba ilamajani akuna 😂😂😂😂😂😂😂
Mara paa umetumbukia ndani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahmed umetishaaaaaaa
Mmmh mbn kama ni simba wa AI