Anamfukuza baba yake mkwe bila kujuwa ๐คฃ๐คฃ๐๐ #nexusentertainment #comedy #film #turufu #viralvideo
ADVERTISEMENT
Comments 45
jayeden68:
Kiburi cha pesa hicho matokeo yake ndio hayo watu hudhani pโฆ
More Like This
24:48
BEHIND THE SMILE ๐ค[58]#sandraofficial #clamvevo #kiparabrand
Entertainment
15.0k
0
18:55
NDOA [EP 169] Love Story ๐๐๐๐#pasarbrand #kiparabrand #love
Entertainment
11.6k
100
0:29
๐ฅ FIRST FARAI SHOCKS THE CROWD WITH INCREDIBLE DANCE MOVES! ๐ฑ๐ฅ #Shorts
Entertainment
356
13
16:15
DON'T BURY ME S02_ EPISODE 16 (HORROR MOVIE)
Entertainment
3.2k
100
2:05
็่้ฝ็ผๅๅๅ#็ดๅฑฌๅจๆจ่ซๅฟๆจกไปฟ #็ๅฃนๆฌก็ฌๅฃนๆฌก #็ฌๅพ่ๅญ็ผ #็็ฌๅฐๆฒปๅ็จฎไธ้ๅฟ #shorts
Entertainment
375.6k
100
0:16
Team Work ๐ช๐ผ
Entertainment
434.5k
100
2:45
I left prison cause I wanted to be with a wife saaya says
Entertainment
1.1k
79
1:21
Mugenda Tulaba Kimafia๐ณ๐ฅ๐ฅ
Entertainment
1.8k
98
You've reached the end
Kiburi cha pesa hicho matokeo yake ndio hayo watu hudhani pesa ndio kila kitu.
La ijapokua wazazi wangu walisha lala, afazali kubaki mkulima nikiwa na wazazi wangu kwa salama.hata baba kakutelekeza msaidie anapo itaji msaada ama umpe kabla hajakuomba.tuna wasaidia na wale tusio wajua sasa damu yangu je.ona hasara๐ข๐ข
Mimi siwezi kumwacha baba au mama yangu eti sababu katutelekeza hapana nashukuru mungu wazazi wangu niliwauguza mwenyewe na nikawazika mwenyewe NYUMBANI kwangu na umasikuni wangu NDUGU zangu tuwapende wazazi wetu
Chuki za wtoto wengi huwaga zinapandikozwa na kina mama
Parti2
Inaitwaje hii movie๐
Maskn tuwemakin sana mtukashakwambia mgonjwa muache jaman ilamkovizur jaman waooo
Zifuatayo โฅ๏ธ Napendezwa saaana na hii mafundisho ๐จ๐ฉ
Next
Eshimu baba na mama ndio maandiko ya biblia inasema, ata kama baba ni mlevi ao mama, shida ya wazazi apana kuingiza watoto ndani !
Muogo mchungu kazeeka sasa
The name of the movie if i may ask
Over acting. Unafungua get mtu humjui unaandaa tukio
Miwanaume mingine Hovyo kweli.
๐ฎ
It's mhugo mchungu atashtuka๐
Ayibu kwa vijanร
Mtihani kla waleo๐ฅ๐ฅ
โคโคโคโคโคโค
Nest