Opening Message:By highlighting these situations, our goal is to raise awareness and encourage reflection.We strongly condemn all forms of abuse and stand for dignity, respect, and justice for all. #viral #viralvideo #africantiktok #comedy #comedyprank #comedyvideo #funny #mbenzibeach #prank #challenges #viral #viralvideo #viralshort #viralshorts #viralvideos #trendingshorts #trending #trendingvideo #trend #fypp #fypシ #fyp
ADVERTISEMENT
Tunaosubir kumuona ashura tukae chini tafadhar 😂
Hawa wanaume wawili hawajui kuhusu wanawake wamuulize Rich kilichomkuta 😂😂😂😂
Ivani nakuomba ikitoka hii bandika tena,wanaosema abandike like
Tuliongoja tumuone ashura😂😂 like hapa
I van wapo wengi, lkn I van one seven ni mmoja tu. Na huwa ashindwi jambo. Mr. Midevu ataumbuka vibaya sana.
Wazazi wana changia haya mambo kwa kiasi kikubwa
Huyo katoro hebu atulie atalia kama mwenzake rich😂😂 akizimia usimmwagie maji
Tumemalizana na wasaliti wa dar sahiv tumefika katoro😂😂😂
Kama unasema mr madefu ana zarau gonga like
Huenda ata mimba Hana wanawapiga hela Tu 😂😂
Hii channel ni babu kubwa Sana, yaani darasa zuri sana kwa jamii nzima.
Hongera Ivan umeanza kurudi kwenye ubora wako
Mwanaume anojigamba hela ananiboa😂😂
Wanao amini hao wanaume saba tutawakuta mbele yasafari tujuwane😂😂😂😂😂😂😂
Sizani kama Ivan atakuja kuoa kwa haya anayoyashuhudia 😂😂😂😂
Yaani Dunia tutaona Mengi wallah🤔
Wale ambao bdo hatuna ndoa tujuane
Wanapiga hela mama na wanae mjini akili ww Toka katoro kichwa kichwa tyuuu😢😢😢
Nimekuja na boda boda😂😂😂😂
Hata Richy pia aliongea hili neno( Nitakupoteza)kwa Ali mwishowe akapotea yeye. Kiburi hakifai.