YANGA DAY: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Yanga SC dhidi ya Aigles du Congo. Goli la Yanga limefungwa na Peter Shalulile na magoli ya Aigles du Congo yamefungwa na Talasy Tonny. FT: Yanga SC 1-2 Aigles du Congo #YangaDay #YangaSC #MwakaniTena #Wananchi #MechiYaKirafiki #YangaSC #AiglesduCongo
ADVERTISEMENT
Kiko wapi jaman kelele zote zile😂😂😂
Madudu🔥🔥🔥🔥🔥😀😀😀
Mungu uyu 😀😀 vyura fc punguzeni midomo I love you simbaaaaaaaaaa
Japo tumefungwa lakini bado nafarijika na usajili wa timu yetu; maana wameonesha vitu walivyonavyo. Hivyo nategemea makubwa!!!
Uuuuuwuy Kuna wata pleya anaitwa Hussein Zakouani 🙌🙌🙌🙌🙌🔥 andika hyo
Hhhhhhhhhhhhhhh!! wacha nisome comment miye🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio mbaya mpira mzuri kuna marekebisho madogo tuu ya kikosi na umakini wa wachezaji ,yanga bingwa
Nimekuja huku baada ya alikamwe kulalamika😂
Mme nife na Ukimwi ningeshangaa mke apone😂😂😂😂😂mama watoto nakupenda sanaa😂😂😂
Kabla ya penat ilikuwa off side
Kiko wapi ninyi wa wahazabe 😂😂😂😂😂
Watu wote angalien big screen 😂😂😂😂 simba kafungwa na police
bonge la intro
Les aigles du Congo wameharibu sherehe😂😂 Mechi ilikuwa nzuri kabisa
Nimeangalia asubuh lakin nimefurah 😂😂😂😂😂
Wameiwakilisha vyema jezi nyekundu❤️❤️
Mi ndo naamka natazama hapa Kumbe nilikosa raha jana Du
Kitumbua kimeingia mchanga 🤣🤣
Jezi nyekundu zimewaongolesha yanga 😂😂😂😂😂
Nimecheka sana jaman walivotusema jana