DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Tunao mpenda beby supu tugonge like ❤❤
Kazi nzuli sana benny wapi like za beby supu🎉🎉🎉❤❤❤❤
KAMA UNA MPENDA YESU GONGA LIKE
Leo Mimi Ndie number 3 Kwa 25sec Niko macho. Mungu abaliki wengine Wana watch nyuma yangu
nawa kilisha kenya wakwanza naomba like
Mm mwenzenu hua nahurumia Happy sana kwa maana sio kwa makofi hayo
Emungu naomba ubaliki kazi yamikono yetu amina
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 😳
Wow leo nimewahi jamani 🎉❤❤❤ kindege dawa yako ni baby supu acha kumwonea dada wa kazi
Tunao ruka matangazo tujuane 😂😂❤🎉🎉
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
WA tatu ke ke 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️❤️❤️ sijachelewa Leo
Wa kwanza kutoka tanzaniaa 🇹🇿
Kenya fast comment 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ebu toeni Criss bando bhna linatumalizia muda wa series 😂😂
Watu mnalal yutub
Naomba nyie waigizaji wte wa hii movie murushe like huku juu nawapenda kwa kaz mnaofanya ❤❤❤🎉🎉🎉
Wa kwanza toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunao mchukia kindege tujuwane hapa
Wakwanza❤❤❤❤
Wapili uku