NAKUJA Ni hadithi nzuli yenye kusisimua inohusu maisha ya kweli wanayopitia binadamu watu wengi Hua wanaamini wanachokiamini ilimradi wapate cheo wapo tayali kupoteza ndugu rafiki kwa sababu ya tamaa sasa basi fuatilia hadithi hi nzuli utajua maisha halisi ya wanadamu nyuma ya pazia [ Tanu Brand Burudani kwa wote ]
ADVERTISEMENT
Nan ambae hajutii kufuatilia series ya Nakuja 😊 Aya nisalimieni na like❤
Anae mkubali huyu dada alieongozana na nilo dondosha like tukisonga mbele na movie yetu pendwa ya nakuja
Túlio furahi Suzy kujifungua tujuwane kwa like ❤🎉
Nimetoka BEHIND THE SMILE nimeenda MUUZA MAJI Nakuja kumalizia NAKUJA .......Nipeni like zangu wadau🎉🎉
Mungu ampe Kila mtu hitaji lamoyo wake amina ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tuliotoka behind the smile kuja uku tujuane kwa like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kama unapenda tanu brand gonga like ❤
Hakika Binadamu, binadamu wabaya Ewe unayesoma comment hii naomba Mwenyezi Mungu akatufungue milango yetu ya riziki pia atusamehe makosa yetu na atupe mwisho mwema amiin
Nakupenda haka katoto jamani kama kunamtu anampenda huyu mtoto gonga like ❤❤❤
Nimerauka jamani Asante kwa kuleta kipindi mapema tunawapenda kutoka Kenya ❤❤❤
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Tunaosema Tanu anajua tujuane hapa
Nimesikia raha kusikia nilo atakutana n mzee tanu🎉
Ila tanu😂😂😂unawanyoa tu wenzio vipara😂😂😂
Nimecheka san mama kabichi amechezea vitasa leo😂😂😂
wa mozambique tujuwane apa kwa like
Asalam alykum vp halizenu wapendwa wap like 😅😂😅😂🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Kaka nilo fanya ju chini shelehe yasandra isipote minipo upande wako kaka nilo
Wakati aliyonalo nilo ndo maisha yetu wengine Mungu tusaidie sana
Yani uyo mtoto anaingiza kama mtu muzima kama na wewe umemupenda like apo