Mwijaku mnamuona hana akil lakin yupo sawa tajir hatuna muhind na football wap na wap
L
luz_mireles4 weeks ago
Mmeanza kusema kweli😂😂😂😂
zinalsood8654 weeks ago
Tuwasusie timu hao, kesho hakuna kwenda uwanjani mpaka timu yetu ipate uongozi mpya na mwekezaji wa kweli
A
adán.cuellar4 weeks ago
Huo ndio ukweli Tajili Mpare sana hana pesa
tracey_ramos4 weeks ago
Jezi umegeuza na bado kuna MO inaonekana..
J
jamesrune244 weeks ago
sasa Chancellor Salah si yupo chini ya GSM, Simba si itakuwa Yanga B?
V
victoire.lucas4 weeks ago
Moh anazingua sana
K
kristopherhart2944 weeks ago
ila Mo Dewj ana moyo saaana, yaani bilionea namba moja
B
brianmartin4404 weeks ago
Toka dunia iumbwe leo ndio mwijaku kaongea point huyu tajir jau sana
D
dalton_gentry4 weeks ago
Shida mwijaku kaongea kweli na kisa ni kweli watamtukana hii Iko wazi wachezaji wengi tumewakosa kwa kumuendekeza kanji yeye kila siku porojo tu Lamin yanga wamenyooka wanatia kibunda tu ukianza kuhesabu tumewakosa wengi sabbu yakeAucho,azizi,pacome,mayele,mpak juzi tu hapo okello, Haya Leo mwalimu alfu mwijaku akiongea mnamtukana Mo jau muhindi kanji bai
S
stéphane.perrin4 weeks ago
Ni kweli mo ajawahi kuwa MTU wa mpira Simba washagundua mashabiki wao ma yaya😂
monica.proctor4 weeks ago
Kumbukeni muhindi kasomea uchumii 😂😂
angela.patterson4 weeks ago
Kiukweli mo hafai kuiongoza Simba atyachie timu tetu
micheal_santiago4 weeks ago
Viongozi sio simba
V
victoria_elliott3 weeks, 6 days ago
Asante sana mwijaku
melanie.campbell4 weeks ago
Eti kuna swaumuuuu😅😅😅😅😅😅
C
christina.lewis4 weeks ago
Mo anapenda kunyenyekewa ndio sababu ya yote haya..
V
vasudha_khanna4 weeks ago
Kweli kabisa mo miyeyusho mingi sana sound kibao akuna kitu
Kaongea ukweli mo jau
Mwijaku mnamuona hana akil lakin yupo sawa tajir hatuna muhind na football wap na wap
Mmeanza kusema kweli😂😂😂😂
Tuwasusie timu hao, kesho hakuna kwenda uwanjani mpaka timu yetu ipate uongozi mpya na mwekezaji wa kweli
Huo ndio ukweli Tajili Mpare sana hana pesa
Jezi umegeuza na bado kuna MO inaonekana..
sasa Chancellor Salah si yupo chini ya GSM, Simba si itakuwa Yanga B?
Moh anazingua sana
ila Mo Dewj ana moyo saaana, yaani bilionea namba moja
Toka dunia iumbwe leo ndio mwijaku kaongea point huyu tajir jau sana
Shida mwijaku kaongea kweli na kisa ni kweli watamtukana hii Iko wazi wachezaji wengi tumewakosa kwa kumuendekeza kanji yeye kila siku porojo tu Lamin yanga wamenyooka wanatia kibunda tu ukianza kuhesabu tumewakosa wengi sabbu yakeAucho,azizi,pacome,mayele,mpak juzi tu hapo okello, Haya Leo mwalimu alfu mwijaku akiongea mnamtukana Mo jau muhindi kanji bai
Ni kweli mo ajawahi kuwa MTU wa mpira Simba washagundua mashabiki wao ma yaya😂
Kumbukeni muhindi kasomea uchumii 😂😂
Kiukweli mo hafai kuiongoza Simba atyachie timu tetu
Viongozi sio simba
Asante sana mwijaku
Eti kuna swaumuuuu😅😅😅😅😅😅
Mo anapenda kunyenyekewa ndio sababu ya yote haya..
Kweli kabisa mo miyeyusho mingi sana sound kibao akuna kitu
Vua iyo jezi uvae j rutty ,sem umesem kwl😂😂