MWENDOKASI (04) #clamvevo #dunia #stivemweusi #lastchance #babajoan #dontatv #sahilmahili #asmafilm
ADVERTISEMENT
Comments 100
wandamyst1:
Alhamdhulilah kwa siku nyengine tena .....team Sahil mungu …
More Like This
33:48
MLINZI Full Episode [ 46 ] #love
Entertainment
4.1k
0
27:57
THE CHESS | 18 | Love Story 💞 #love #dontatv #penzilamtotowaboss #monalisa #firstlove
Entertainment
10.8k
0
46:06
SELMI HASAB S2 P146 BY HABTOM @HAB
Entertainment
8.6k
0
0:11
Megan filling in for Manon as Yoonchae’s Gameboy partner #katseye #manon #megan #yoonchae
Entertainment
71.1k
0
0:17
This bike looks like it's sinking into the ground...
Entertainment
51.2k
0
1:21:41
MY HOUSEMATE- NIGERIAN MOVIES 2026 LATEST FULL MOVIE
Entertainment
4.9k
0
1:05:33
NEMESIS NEXT DOOR 2 | Odunlade Adekola, Iyabo Ojo, Mike Ezuruonye,Eniola| Latest Nigerian Movie 2026
Entertainment
8.0k
0
0:13
Revolutionaries ke sath collab hogaya heheh woh bhi black & yellow color coding #funny #comedy #lol
Entertainment
128.6k
0
You've reached the end
Alhamdhulilah kwa siku nyengine tena .....team Sahil mungu awaepushe na hasad n awatie Nuru kwenye mapambano yenu,,,,,,, from Kenya
Mwenyezi mungu fungua milango ya huyu mwenye anasoma comment hii kama Kuna gum anapitia yeye ukalifanye kuwa lepesi na Kila atakalo Fanya akafanikiwe🎉❤
Waliyoiona siku ya Leo na kufika sahv tuseme allahmdulillah. Sahil ❤❤❤❤❤❤
Kama unaamini kupitia mungu yote yanawezekana hakuna gumu asilo liweza like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kumbe shemsa unaongea ivyo maan kwenye lamination unalia tu
Yaan nimecheka sana shemsa umeweza 😂😂
Wa kwanza leo naombeni like plz
Mungu jalia wazazi wa huyu anayesoma coment hii waishi maisha marefu na wale wazazi wao ambayo wametangulia mbele za haki walazwe mahali pema peponi
Nimewahi leo naombeni like hata tano🎉🎉🎉🎉
Ila hiii uku upande WA Mombasa Kenya Kuna sehemu inaitwa likoni hii tamthilia nikiitazama naona uhalisia kabisa ..... Yaan hakuna utafauti mungu akizidishie kipaji chako Sahil iyo ni zawad ya kipekee kutoka kwa Allah
Nishafika 🎉🎉🎉 namba 1
Jmn nam napenda kujiunga nanyi
Na mimi leo wa ishirini na tatu
Ila shemsha 😅😅😂😂😂😂😂😂 hatari sana umejua kubaruza
😂😂😂😂😂😂huku shemzaa kacha chuka kinomanoma aiseeeeee 🙌 kama so yy
Kan shemsa udugu wangu wewe kabila gan duuuuuuh una ongey nime kupend 🎉🎉😂
🤣🤣🤣ila shemsa umechangamka ety leo upiki🤣🤣🙌
Han hii n ya moto kaka hongera san penda ww n timu yak
Mwenyekiti mbn barabara ya lushoto tena imeingiaje hapo
Leo mapema sana yn 🎉👌👌