"Wakati unatafuta hiki, hiki kinaangamia. Hakuna kitu chenye faida tu." Anasema Mwl. Cosmas akiwashauri vijana wa kike na wa kiume juu ya namna ya kustawi katika kimaisha katika nyanja za mahusiano na tabia "Ishi tofauti na uwe mtu wa tofauti. Acha kuhangaika kusihi maisha kama watu wengine. Unataka kuachieve vitu tofauti? Zungumza tofauti, vaa tofauti." Una maoni gani kuhusu hili? Fuatilia Hub of Wisdom kwa njia ya YouTube kwa matoleo zaidi yenye maudhui ya maendeleo binafsi, uongozi, falsafa ya maisha na mafanikio Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ........................................................ #CosmasMadulu #MwlCosmasMadulu #Maisha #KusudiLaMaisha #Ustawi #MaendeleoBinafsi #HWTv #HubOfWisdom #LifeSkills #Success #Leadership #MaendeleoBinafsi #FalsafaYaMaisha #HWMedia #HubOfWisdom #TheWiseTZ #Inspiration #Swahili #Tanzania
ADVERTISEMENT
Usitupotoshe tafadhali.
Mimi nimeolewa na miaka 32 na ndoa yangu ipo strong hatri
Jamaa muongo sana huyu
Uongo! That’s not biologically true!
Mpuuzeni huyu
Unapiga kelele za kijinga ulisha poteza muelekeo wako wa maisha mrudie Mungu wako kiukweli ili akusaidie.
Acha uwongo hayo mwenyezi mungu alishayasema toka kwenye vitabu lakini si sababu ya kuchelewa kuolewa
Yote yatasemwa,lakini Mungu Mwenyezi ndo anajua kila hatima ya mtu.
Mbona nimefunga ndoa na miaka 39 ?
Shindwaa katika Jina la yesu na uongo wako
Wenye akili kubwa ndo wana muelewa uyu jamaa ila wengine akili kisoda kaeni kimy 2 amuwezi elewa ayamambo ❤❤❤ Kaka 😊
Daah,kweli, kuna mambo kasema kweli. 😅...
Mmmmh dadangu amezaa mapema na amezaaa waschana tele hayo ni ya Mungu unaover think
Ananena vyema kabisa 👍👍👍
Uwudesiiiiiiii puuuuh!!!!
Ni siasa udokta ni Mungu kwenye mapenzi ya Mungu hakuna kitu anachoongea
Si kweli kbsa, nnamiaka 38 nnamtoto mchanga wakiume, na nilipokuwa wodin kunawalionizidi umri km watatu hivi wote tumezaa vidume
Abraham had isac when the were very old. Wewe unataka kudanganya watu... siyo kila mutu anaye sikizwa na watu wengi ina maanisha hekima. Kuna wengine ambao wafutwa nawenzio. Nahisi Sija tusi mutu😂😂😂
Uongo mm nilipata mtoto nikiwa 18 years old na ni msichana.. Mbona?
Unajifanya kujua siri ya Mungu acha comedy mzee