CHISANO AUKUBALI MZIKI WA YAO KOUASSI | YANGA WAMEMTIBUA KOCHA | MAX NZENGELI NI ZAIDI YA MCHEZAJI.
ADVERTISEMENT
Comments 22
benitosolorzano76:
M mdau wenu na 1 🎉🎉🎉🎉🎉
More Like This
2:50:15
CAESAR CHANDIGA🇺🇬🇺🇬 Vs JEREMIAH NAIDOO🇿🇦🇿🇦. RUMBLE IN NAIROBI FOR USD 3k
Sports
1.1k
11
1:06
Michael Olise in court over his child support #olise #bayernmunich #football #sports #fifa
Sports
1.5k
100
0:27
“Bernardo is SO SLOW..” – Grealish 😂
Sports
8.2k
29
0:11
AURA Farming 🗿☠️ #volleyball #volleyballshorts
Sports
23.3k
0
5:13
Kaizer Chiefs v Siwelele | Match Highlights | Betway Premiership
Sports
933
27
2:57
Pepe & Ramos Were Football’s Worst Nightmare 💀😭. #football #pepe #ramos #realmadrid
Sports
9.0k
0
2:07
Premier league 5Aside Draft ⚽️👀
Sports
10.5k
100
0:27
This Javier Báez play is still one of the wildest things we have ever seen on a baseball field 😮
Sports
14.2k
100
You've reached the end
M mdau wenu na 1 🎉🎉🎉🎉🎉
Ukitaka kujua thamani ya Yao Kwasi muulize Diara.
Uyo ni yao yao jeshi chama lawana yanga
kweli timu bado. huwez fanya vizuri kimataifa kama unafunga kamoja kwa katimu dhaifu kama kale, kanaitwaje sijui....
Dada,ft chisano nawakubali sana sana afau nawaona kama wana yanga wenzetu kwajinsi mnavyoichambua vizur yanga.
🎉🎉
Kweli Yao mchezani hatali
Kumbuka nina jeshi lilitokana na nini lilikuja kabla ya kutumia! Ana hulka hiyo, lakini yawezekana hili la kutumia limeongezea munkari!
Mimi naamini sana aliyemrudisha Yao mchezoni kifiziki na kisaikolojia alikua Kocha Goncalves, siku zote Kocha Goncalves alikua anamchagua Israel Mwenda mbele ya Yao Kwasi hili lilimfanya Yao Kwasi awe na hamu kubwa sana ya kutaka kurudi kiwanjani hamu hii ndio ilimsukuma sana kuyafanya yaliyo sahihi kuliko alivyokuwa ili kocha amuone ...ile haliyakukaa nje ilimkuza sana na alipo pata nafasi aliamua kuhakikisha hatoi mwanya wa kuwa wa pili tena na akaamua awe wa kiwango cha pekee kila anapopata nafasi ya kucheza
Yanga ya mwaka huu noma sana.Boka pia msimsahau kumkumbuka
Nmefurah sana kusikiliza hii redio vtu moto moto
Jeshiiikkkk❤❤❤❤❤❤❤
Jeshiiiiiiiiiiiii🎉
Jeeshii❤❤❤
Oya mko sahih san ndug zang yao mwachen 2 🎉🎉🎉
Yao kwasi kipenzi cha wanayanga😊
Mimi ninatoka Moçambique ninaomba ummongelehe max mzengel sifa zake mm shabik wake
Yamga same kama madrid msimu huu
Self-ownership!!!
chisano nakwelewa