WAMAMA NA MIKOPO #youtubeshorts #goviral #foryou #maisha
ADVERTISEMENT
Comments 69
luisquesada524:
Ujue hii nikweli make uku mtaani watu wanadharilika sana af…
More Like This
0:11
this mom knew her sons grew up well ❤️🩹😆 #usa
Entertainment
42.5k
100
0:24
#banaraslitfest #kimpro828
Entertainment
198.1k
0
2:21
Never judge a book by its cover
Entertainment
5.6k
56
0:11
Who Is The Man In This Marriage?😳
Entertainment
19.2k
0
0:42
I also thought he was in his 30s 😬 #twice #kpop #shorts
Entertainment
176.8k
0
1:04:59
ABATTOIR SEASON 6 || EPISODE 13
Entertainment
19.1k
100
0:14
Only for the doctor to wear a mask💔✌️ #relatable #shorts #short #funny #usa #memes #meme
Entertainment
83.2k
100
0:30
Topper Guild Exposed Rumi’s Evil Twin😳
Comedy
6.6k
21
You've reached the end
Ujue hii nikweli make uku mtaani watu wanadharilika sana afu chaajabu sioni chamaana wanachofanya ni kubadilisha mikopo kwa mikopo jamani mungu atuepushe na roho za mikopo na madeni😢😢
Ila wamama daaaa. Vado kazi nzuri nko +254
Namwelewa sana huyu bro na content zake
Ila ni kweli mikopo ni umaskini 😢
Nzur kaka wa kwanz leo 🤝🫡
Pole ndugu mungu awatie nguvu mvumilieni tu
😂😂 ila kausha na vikoba ni tatizo kwa kweli
Yaan huyo ni mamangu kabisaaaa ,mamangu kila ninachomfanyia ajawahi lizika kila siku ni kunipa laana tu kila panapohitwa leo ukimwambia anakujibu mim nilivo kuzaa utanilipa nin ,adi leo ninavoongea katukataa watoto wote mahakamani kasema ajawahi kuzaa na Yuko timamu ,yaani nikiona hivi naumia sana jamn😢
Bi mkubwa huyu anajua sana kuigiza aisee wale Bongo Movie hawamuoni sijui
😂😂😂😂wembe wakunyoa mavuzi huo
😂😂😂😂Wembe WA kusafisha vuzi🙊
Hivi uyu ni mamako kweli au wa michongo😂😅,vibe anayo aisee😁💯
Wembe uo uo vado brother ila daaaah pole sana na ujmbe ni mkubwa na umefika
😅😅😅
Ujumbe umefika mno
We ni kama mmi nilisema mpk nikainua mikono juu mikopo na madeni juu
Huyu mama anajua sana hadikukimbia ananishinda
Umetisha mkuu, hongera kaka.
😂😂😂wembe was just chilling 😂😂😂
Namshukuru mungu kwakunipa mam bora abari zavikoba usimuulizi yupo busy nakutafuta ridhiki