Cheza na vitu vyote lakini sio kuvusha watu mipakani au kuvusha meno ya tembo,ila ukikutwa lazima ujifanye unajuana na kila mtu..
Ila Nishai anajua kupambana..
ADVERTISEMENT
Comments 96john.jensen:
Tuwaombee dua raia wanaouwawa bila hatia😢😢 Na sis Mungu atu…
Tuwaombee dua raia wanaouwawa bila hatia😢😢 Na sis Mungu atulinde na vizaz vyetu Hii nchi muda mwengin inatupa hofu ya kuishi tukiamin kua 'HAKI YA KUISHI' kweny Katiba imebaki maandishi tu😭😭
vincent_keer4 weeks, 1 day ago
Kama umeamka salama ngonga like
A
andrew_aguilar4 weeks, 1 day ago
😂😂😂😂😂 ila meno ya konde boy 🎉🙌
abigailbrown4824 weeks, 1 day ago
WA Kwanza naona like🎉
S
suzannelloyd4764 weeks, 1 day ago
Nanga alitaka kuingia kwa mfumo😂
N
naksh_chaudhry4 weeks, 1 day ago
MwenyezMungu awajalie afya njema wote wataftaj na awape matumaini ya kusonga mbele
D
daniela_campos4 weeks, 1 day ago
Wapili leo😂
S
sarah.zuniga4 weeks, 1 day ago
Mungu atufungulie riziki siku ya leo InshaAllah 🙏🙏
M
mohammed.barrett4 weeks, 1 day ago
Good god👍🏾 🇿🇦
babyberry4 weeks, 1 day ago
Vipi Joti wiki nzima tumengojea video ya dakika 5 tu? Nanga kwa siku atoa video 3 kila moja dakika 10.
mariacecíliaalbuquerque4274 weeks, 1 day ago
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jino la konde boy heheheheheh
R
rosaaltamirano4674 weeks, 1 day ago
kama unaipenda team joti tv tujuane pia tuzidi kuwaombea ndugu zetu wanaouwawa bila hatia kila siku mungu atulinde
C
crystal_ramirez4 weeks, 1 day ago
Wakwanz Leo nipen like jmn 🎉
C
carol_atkinson4 weeks, 1 day ago
Sija chelewa, weka like
R
rebeccareynolds8954 weeks, 1 day ago
😂😂familiyaaa😂
J
justin_brown4 weeks, 1 day ago
Mnataka kuniambia joti kaishiwa komedi mpk aweke part 1 na 2.😂.
M
michelle.ortega4 weeks, 1 day ago
Harmonize konde boy😂
L
lucy_greenwood4 weeks, 1 day ago
Leo nim wahii
S
sallysimmons3454 weeks, 1 day ago
Ila askari wa bongo bana, wao wakiona gar tu ni vita😂😂😂
Tuwaombee dua raia wanaouwawa bila hatia😢😢 Na sis Mungu atulinde na vizaz vyetu Hii nchi muda mwengin inatupa hofu ya kuishi tukiamin kua 'HAKI YA KUISHI' kweny Katiba imebaki maandishi tu😭😭
Kama umeamka salama ngonga like
😂😂😂😂😂 ila meno ya konde boy 🎉🙌
WA Kwanza naona like🎉
Nanga alitaka kuingia kwa mfumo😂
MwenyezMungu awajalie afya njema wote wataftaj na awape matumaini ya kusonga mbele
Wapili leo😂
Mungu atufungulie riziki siku ya leo InshaAllah 🙏🙏
Good god👍🏾 🇿🇦
Vipi Joti wiki nzima tumengojea video ya dakika 5 tu? Nanga kwa siku atoa video 3 kila moja dakika 10.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jino la konde boy heheheheheh
kama unaipenda team joti tv tujuane pia tuzidi kuwaombea ndugu zetu wanaouwawa bila hatia kila siku mungu atulinde
Wakwanz Leo nipen like jmn 🎉
Sija chelewa, weka like
😂😂familiyaaa😂
Mnataka kuniambia joti kaishiwa komedi mpk aweke part 1 na 2.😂.
Harmonize konde boy😂
Leo nim wahii
Ila askari wa bongo bana, wao wakiona gar tu ni vita😂😂😂
JOTI UNANIVUNJA MBAVU KAKA😆😆😂😂😂😂😂😂