NAKUJA Ni hadithi nzuli yenye kusisimua inohusu maisha ya kweli wanayopitia binadamu watu wengi Hua wanaamini wanachokiamini ilimradi wapate cheo wapo tayali kupoteza ndugu rafiki kwa sababu ya tamaa sasa basi fuatilia hadithi hi nzuli utajua maisha halisi ya wanadamu nyuma ya pazia [ Tanu Brand Burudani kwa wote ]
ADVERTISEMENT
Mimi ndo wa kwanza Leo . nawapenda sana mashabiki zangu 🎉🎉🎉🎉🎉 tujuane tunao ipenda nakuja 🎉🎉🎉🎉
Tulotoka behind the smile na kuikimbilia NAKUJA gonga like hapa
Anae mkubali baba suzzy kucheza vizuri scene yake dondosha like tukisonga mbele
Wangapi wametokea kwa behind the smile direct mbaka nakuja Kama mm gonga like tujuane 👋👋
Wanaotoka kwa behind the smile mpka hapa like jamn nku🔥🔥🔥💥💥💥💥
Baba suzi umepigaje apo😂
Nimefurahi Tanu kugundua chai imetiwa sumu Asante sanaa kutoka Kenya
Atlist leo na comment nipate like from kenya 🇰🇪
Tunao subr kwa hamu kumuona hawa gonga like kama watu wa 🇰🇪 na kongo
enieni anafurahia mama ake kupigwa 😂😂😂😂😂😂
Asalam alykum vp halizenu wapendwa wap like ❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Tatu Sita mstali wa saba huruma sio malezi😂
Nani amona like zinabadilika like apo uwone😂😂😂🎉🎉
Seirata amevaa kakorokoro😂😂😂
Nimewahi leo naombeni mnipe like ata 10 jamani sijawahi pa like
1:34 nahizi fimbo mbona kama niza kweli 😂😂
ripen hata like 20 nimewahi namimi
Team strong mpo Allah atutie nguvu tuendelee kupambania familia zetu
Babake Suzy hpo freshy akirudia next time tunangoja kuona hyo fimbo y Siri ohooo😂😂😂😂😂
Nilo kwakujuwa kulia jamani