Opening Message:By highlighting these situations, our goal is to raise awareness and encourage reflection.We strongly condemn all forms of abuse and stand for dignity, respect, and justice for all. #viral #viralvideo #africantiktok #comedy #comedyprank #comedyvideo #funny #mbenzibeach #prank #challenges #viral #viralvideo #viralshort #viralshorts #viralvideos #trendingshorts #trending #trendingvideo #trend #fypp #fypシ #fyp
ADVERTISEMENT
Wanaosema kuwa ashura amefanana na baba kijacho tujuane kwa like
Jamani toka niaze kumfatulia Ivan sjawai pata like
Nani ameona injinia anaushikilia moyo wake like chapu😂😂
Sjawai pata likes 😢😢
Wanaosema mama ni mwehu like
Waliokuwa wanafikiri ivan alikosea kuandika mimba moja wanaume saba toka part 1 like apa❤
Pumzika kwa amani mama angu pia asante kwa kunilea vema❤❤❤
Kati ya wote hapo alieumia mwenye upara maana anapiga kifua tu . Pole baba
Mm pia sipewagi like lkn mm nikiingia natoa like kwa watu zaidi ya 100
Iviiiii kumbe ni kwelii Pesa Haina nguvu mbele ya HISIA za mapenzi ya Mtu😂😂
Jamaa wa katoro mapema aliona kushare na manager ni aibu leo aibu sasa amekutana na rasi 😂 hatimaye kura ya ushindi kwa Rasi gonga like hapa
😂😂😂😂😂 wanao semaa mama ashuraaa yammeshukaaa shuuuuuuuuuuuu gonga like hapa
Iyo kitu ya ashura ishaota sugu kama una amini gonga like hapa
😂😂😂😂 mapenzi ya kweli yapo mapenzi hisia gonga like ❤😂😂
😂😂😂😂nimejua kucheka leo katika machokolaa wote wewe funga kazi😂😂😂😂😂mama msenge kweli😂😂😂
Jaman mnamuona injinia kaishiwa nguvu pale kisukari kimepanda na pressure😂😂😂
Jamani huyu ndo mwenye mimba au macho yangu hayaoni vizuri🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Injiniya😂😂😂 hata nguvu za kusimama Hana sukari imemaliza😂😂😂😂
Vijana tunapaswa kujifunza kitu hapa,
😂😂😂😂😂katika chokoraa wote huyu funga kazi😂😂😂😂