simba #youtubeshorts #offpitchtv #mbwaduke #gsm #new #nbcsports #sportspesa #feitoto #wydad #afcon2025 #rajacasablanca #betway #mpanzu #ubuntu #mwananchi #alahlytv #pacome #timuyawananchi #offpitchtv #rajacasablanca #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #sports #mpenja #gsm #nbcsports #barbra #spotify #mangungu #ahmedially #kamwengestories #reels #soccer #podcast #ballislife #breakingnews #morroco #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #derby #cafoundationaccountsrevision #worldcup #kombeladunia #usa #live #france #senegal #ivorycoast #germany #portugal #live #england #ghana #azerbaijan #panama #croatia #ecuador #germany #culacao #cr7 #southafrica #canada #brazil #japan #germany #paraguay #norway #sweeden #drc #senegal #belgium #spain #australian
ADVERTISEMENT
Mbona Cisco una matuai bro au unajiona hapo umefika .Simba hajashindwa pesa tatizo ni viongozi wakuu washabiki wa yanga hawataki kuona Simba inafanikiwa ,kuwa mdadisi
Ww mtangazaji acha uchawa kusema.wanarukaruka.kwa mahalage.punguza mdomo wako
Vizuriituuu..kikubwaa tuanzeligii. Kwakikamilifu safiiyo
Simba wanaachama wangeandaamana kwema wazzirri wa michezo Mh Makonda asaidie kabla ya kuanza club bingwa ili uongozi wajihudhulu wafatao Mangungu na Selemani na zubeda hao Simba ikifungwa wanaende kuchekea chooni
Ndiyo maana nakupenda Katarambura umeona ni bora kujitenga na kauli ya kebehi ya sisco.
Haujitambui wewe ssco kama jinga hujui kutumia ubongo wako wa nyuma na wakati 😢
kaka acha zarau jitaid kabla ya kusema fikilia watu tumefika mwisho wataluka na wewe
Aaaa bora wee fei fei tumechoka bwanaa 😅😅😅
Huko kwa wenzetu anayesajiri ni timu au kila anayejisikia tu anasajiri?
Haya majamaa maongo sana,yamehamia kwa bobosi.
Clesco ni utopolo hadi anakera, anapenda kuiponda simba hadi anatuboa
Sisco hanatofauti na redio ya mbao ,utakuta redio kubwa lakini bendi 1 (moja )
Sisco hujajua ethics za taaluma yako,unaona dunia itabaki kama unavyoona wewe,eh rekebisha lugha yako vizuri kaka.Na huyo feisari ni wa kawaida Sana hatujaona jipya Sana la kuwazidi wachezaji waliopo Simba na Simba acheni kujishughulisha na feisari angekuwa na uwezo Sana Azam wangekuwa mabingwa.
Cisco jitathimin ama la sivyo utakuja shindwa kipi kitakusaidia mbele yako
Bobosi ninamba10 piwa bandio nandio nambayake anayo imudu vzr kacheza Lin namba6 bobosi
Cisco Hana maadili ya uandishi yeye shabiki mavi amejawa na majivuno
Muwambie wanahangaika kuondoa ugonjwa ambao haujulikani bado.Nawasaidia na mfikishe ujumbe huu.Simba ugonjwa wake ni Full backs zake tu Wasajili full backs timu itatulia bila hivyo tutafungwa sana na yanga .Kwa timu zingie tutaishia kutoa droo tu
Kipa hamsemi
Tafuteni kazizakufanya achenikutudanganya
Na picha ya messi ya nini hapo acheni upumbavu wahovyo ninyi kabisa