KITANA [EP 60] Traditional Movie ❣️❣️❣️ #pasarbrand #pasarfilms #traditional #film
ADVERTISEMENT
Comments 100
joshuaplume84:
Tukimaliza movie yetu pendwa mje nakwangu ku support mziki …
More Like This
23:03
Dunia Season 2 Ep 50 #dunia #manyanya #clamvevo #dubutz #memkwaschool #huyuninani #sandraofficial
Entertainment
0
94
29:36
FAMILIA Full episode [ 28 ] #love
Entertainment
8.3k
100
0:51
Kid ditched dad's nasty food🤯#family #shorts
Entertainment
10.1k
16
2:55
He Pretended to Be Crazy… Then Exposed Them#MaidStory #FamilyDrama #Betrayal
Entertainment
2.1k
0
0:52
Most Dancehall Fans Don’t Know This 👀🇯🇲
Entertainment
0
90
0:11
Lisa feels a bit uncomfortable when fans are overly enthusiastic!!🥲🥲 #blackpink
Entertainment
58.6k
0
1:18
Beatbox chips money game #beatbox #tiktok
Entertainment
82.5k
100
0:22
#aura
Entertainment
50.6k
100
You've reached the end
Tukimaliza movie yetu pendwa mje nakwangu ku support mziki wangu 🙏🙏
Maisha yamejaa usaliti sana watu tunaowaamni ndyo wanaotuumiza 💔😢
Kama una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina 🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Like za wakenya wapi,sitazi za watanzania
Tunao ona tanu ataumbuka ivi karbuki like hapa
Tunao hangalia mouvie tukiwa kitandani naomba like hapa
Nikajua mimi niwakwanza kumbe wengine wanakesha hukuhuku jamn lkn naombeni like hata kidogo😊😊😅
Wakwaza leo, jaman like za mke wamgamga tano🎉🎉
Wa kwanza kutoka mombasa kenya ata ka like doro mbona 💥
Kulala na kuamka ni neema Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA WAPENDWA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Leo mmetisha sana muwe mnarusha kwa wiki hata mara tatu
Zaraaaa jmn we mzuri Mashallah
Nampenda sana zala mzur na anasaut nzur na anaweza
Ila hii muvi mnaweka vipande vifupi sana jmn,mnatuonea sna mashabiki wenu😢
Chaba hoyeeee🎉🎉🎉
Ahena mantale team kitana na ngalewa tugonge like tukisonga team kasongo 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
7:25 kitana naomba umfanye huyu Awe bubu😢😢😢
Chef pumbavu sana tena sana
Passar leo umetuletea kitana mapema kbs
Mashabiki wa Simba hongereni kwa ushindi Wapendwa wote wa movie ya kitana nawatakieni Juma Pili njema