Rayavanny kiboko, kakodi hoteli kwa milioni 6 usiku mmojaππ₯ #wasafi #shorts
ADVERTISEMENT
Comments 19
kristen_brooks:
Wanyukyusa Wana Sifa sanaaa....nawaelewa vizur,wakiwa na Heβ¦
More Like This
23:03
Dunia Season 2 Ep 50 #dunia #manyanya #clamvevo #dubutz #memkwaschool #huyuninani #sandraofficial
Entertainment
0
94
29:36
FAMILIA Full episode [ 28 ] #love
Entertainment
8.3k
100
0:51
Kid ditched dad's nasty foodπ€―#family #shorts
Entertainment
10.1k
16
2:55
He Pretended to Be Crazy⦠Then Exposed Them#MaidStory #FamilyDrama #Betrayal
Entertainment
2.1k
0
0:52
Most Dancehall Fans Donβt Know This ππ―π²
Entertainment
0
90
0:11
Lisa feels a bit uncomfortable when fans are overly enthusiastic!!π₯²π₯² #blackpink
Entertainment
58.6k
0
1:18
Beatbox chips money game #beatbox #tiktok
Entertainment
82.5k
100
0:22
#aura
Entertainment
50.6k
100
You've reached the end
Wanyukyusa Wana Sifa sanaaa....nawaelewa vizur,wakiwa na Hela ,kutoa Mil 6 sio shida zaoπ’π’
Sasa milioni6 inakushitua dada!π’ Wewe inabiuendelee kutafuta hela au uje katoro maama sio kwa kushituka hukooπ
Mambo za social media watanzania wenzangu tusichukulie kwa uzito hapa canada mahoteli yapo mazuri Tu tunaeda lakini tunanyenyekea sana
Uvae bukta uvae suti wote tutazikwa chini
Jmn wenzenu tunakufa na vidonda vya tumbo huku si mtusaidie mtabarikiwa zaid ya hizo kufuru mnazofanyaπ’π’π’π’
Wanyakyusa wengi wana sifaπππ kwa kutumia tu. Ni kuvaa ,sherehe na bata.Uwekezaji sio vitu vyao
πππniffer unashamba kama alokuleta mjini jamani mwangaluea dem wakuletwa mjini
Tuna maskini wengine Sana.
Kwan unajuaje kalala??π π π
Jamani punguzeni kukuza mambo pesa ya kawaida tuu yote kwa yote kaburi linamsubiri ndio kitu Cha kwanza
Wakasaidie na nyumbani kwako vijijini wapate Baraka zaidi hiyo ni Sadaka tosha kuongezeka
β€β€β€
β€β€β€β€β€
Sasa uyuuuuuπ
ππππ noma mnoo ipo maeneo gani iyo
Kamdomo jamani kalale na wakulale
Masikini umusifu tanjiri stop
Million 6 ni ngapi za kenya ndio nije
unashituka nini unajuwa tumetumia milioni ngapi mpaka wewe kuwa huru