π¨KISUGU AIBUKA AMUWASHIA MOTO MUHINDI WA SIMBA NI MCHAWI KWENYE TIMU APELEKWE MAHAKAMANI
ADVERTISEMENT
Comments 34
garry.hayes:
Huyu jamaa sijawahi kuona kaongea jambo gumu anarukaruka tu
More Like This
9:14
MCHOME MAPOVU APAGAWA\HII SIMBA HAIFIKI HATUA YA MAKUNDI\SIMBA TUNAMUHITAJI SELEMANI DOUMBIA HATOSHI
Sports
91
20
14:26
GB 64 APAGAWA NA GOLI LA ANICET OURA, MIGHTY WONDERERS vs SIMBA
Sports
177
0
38:06
Ian Wright Goes Crazy! π₯ Arsenal vs Chelsea 2-1 Arteta Smashed Alonso | All Reactions
Sports
2.2k
100
23:46
Arsenal vs Chelsea 2-1 The Defending Champions Staged A Comebackπ₯ Odegaard And Konsa Crazy Reaction
Sports
1.3k
0
5:21
Arsenal vs Chelsea 2-1 Highlights & Goals | Premier League 2026/27
Sports
1.1k
0
0:13
RICE β‘οΈ ODEGAARD β‘οΈ SAKA β‘οΈ MERINO β‘οΈ GOAL!
Sports
4.1k
32
14:21
βMartin Γdegaard looked SUBLIME!β π€© Arsenal backed for another title after Chelsea win | ESPN FC
Sports
882
84
14:40
Arsenal looked 'super strong!' - Craig Burley's takeaway from 2-1 win over Chelsea | ESPN FC
Sports
1.0k
0
You've reached the end
Huyu jamaa sijawahi kuona kaongea jambo gumu anarukaruka tu
Uko sawa
Kama mnajuwa nyinyi machawa w simba kwamba wat wanaumia wat wanakufa kwa ajili y mapenzi ya simba msinge ya fanya haya yanayoendelea kwa kuaaminiisha wat mambo ambay hayatekelezwi mngekaa kimya ww na kina gb mohd wa kigoma mandala na wingine
Mbona porini mikoi
Aema hiyo 1990/ 1991 Yanga iliwabeba mkaifunga hizo goli mbili siyo kwamba timu ilikuwa vizuri Migogoro yenu Simba hamtaacha mnajari matumbo yenu sana
Jamani mashabiki acheni kuwachanganya viongozi,kila siku mko na waandishi kaeni kimya jiandaeni na uchaguzi ,au kwa vile mnapewa pesa na waandishi ndo kila kukicha simba iko mdomoni yani bila simba hamwuwi maarufu?tumewachoka machawa
Inatamkwa PRESS sio PLESS, ...hlf na ww KISUGU ni mmoja wa MACHAWA, ila Kwa sababu mjanjamjanja ushawaingiza wenzio chaka...sasa unajifanya kujificha Kwa WACHEZAJI ...hata unachoongea hakieleweki , !..huna MSIMAMO
Hamuko kwenye dua bali muko kwenye kutuharibia timu kala wakati muko kwenye lawama kama munaipenda simba munakaa kwenu kisha munalaumu fata timu inapokwenda ndio useme sio unaropoka tu
Viongozi wa simba kwa nn wawaruhusu hawa waojiita wenye ushawishi kama sio kuwatumia kwa maslahi yao basi wangekuwa washawapa kauli kama hakuna watu wenye ushawishi katika simba
Niwasaidie tu kidogo mi kwangu shida ipo kwa uongozi ilitakiwa uongozi wa Simba ujitokeze ulipo uite waandishi watoe tamko Tena wakiwa wapo wote baina Simba sport na Simba company hata mzabuni pia ingelewa maelewano
Hiyo past tense nimeipenda.πππππππ
Kweli kabisa na kukubali
Kaka upo msumbiji tunaumia
Sasa kama kuna tatizo kwa mtu wa kuongea ni hawa kina kisugu badala ya uongozi? Hapo kinachoonekana ni kuwa kuna watu wanaowatetea viongozi hata kama wanatuhumiwa makosa kweli hii inasabababisha kubaki mafungu tu hakuna solution hapo.Gombaneni ili Wapinzani wenu waendelee kupata Raha tu.viongozi mbona hawaongei? Wamedanganya wanasajili kiko wapi? Huyo kisugu anasema time haina Tofauti je kuna Furaha kati ya viongozi acheni kujitekenya wenyewe.
Kisugu wewe huwezi ongea kwa upole mpaka ufokefoke? Mtakufa kwa pressure mwaka huu ππππ
Kwahiyo jamaa la meno yanga moyo simba hapo limechagua locationππππ
Njaa ya mwaka huu haituachi salama.
Pat tenseππ
Kisugu ndie shbki anae jitambuwa sana wengine ni machawa tu
Kaka huyu simwelewagi hata pointi yake.nasikiaga neno Simba π