GHETTO LA KUSHEA – “JIRANI NISAIDIE” | EPISODE 03 Nuru na Musa wanaendelea na maisha yao ya ujirani, lakini mambo yanakuwa magumu pale Mama Nuru anapofika na kuamua kukaa hapo. Nuru analazimika kumtambulisha Musa kama boyfriend wake, na mambo yanaanza kwenda kombo. 😂🔥 Usikose Episode inayofuata🔥🙌 🎬 A HOMES FILM Production ✍🏾 Written by Nyaki © 2026 HOMES FILM
ADVERTISEMENT
Mambo vipi? Karibu kwenye Familia ya "GETO LA KUSHEA" Na Hii ni Sehemu ya Tatu ya Vicheko....Usisahau Kulike, Kucoment na Kushare MAONI BINAFSI Tuma Ujumbe Kwa Namba +255658180631 Saidia, Changia uzalishaji wa episodes zijazo, unaweza kutuchangia kwa hiari kupitia namba: +255766007748 Mkasa Richard Mkwaruzo Kila mchango, mkubwa au mdogo, unasaidia kuendelea kutengeneza story hizi. 🙏🏾 Asante kwa ku-support kazi yetu.
Kama unatumia bando lako gonga like😂
chard tuweke ya 4 kesho😀😀😀😀😀😀😀
Dakika za jioooooniii Assist kutoka kwa Mama 🤣🤣😅😆🙏😂
Kwann umenishika takoo🥹🥺😂😂
Leo bando langu linaenda kihalali
Kwahyo sasa utalala nae au tutalala wote 😂😂😂
Aah ila chard igweee😀
Wale wazee wa kushere ghetto kama mm mkuje hapa tujuane kwa like😅😅😅
Chard tuleteeee inayofata kwa harak sana 😂😂😂😂
😂😂ilete chap Ep4
Mbona geto la kushea linaanza kuleta raha 😂😂😂😂.
Chad kavaa uhalisia 😂😂😂
ahahahahaha ila chard sasa kalio la mtu limefanyaj ahahah
Umekuja moto Mwaka huu 2026 umukua mwanzo mzuri
Leo Leo Kaz ipo 😂😂
Chard wai kutoa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Oya chuma imetulia sana👍
Toa ndefu angalau dakika 23-25
Daaaaah chard zali la mental