NAKUJA EPISODE [ 39 ] FULL HD
ADVERTISEMENT
Comments 100
michelle.ortega:
Haya Leo mimi mwenyewe Nilo ndo nimekua wa kwanza naomba li…
More Like This
18:35
KITANA [EP 64] Traditional Movie ❣️❣️❣️ #pasarbrand #pasarfilms #africa #love
Entertainment
4.1k
0
1:38
Ndoto yakila mwanaume kwa mke wake 😂😂😂 #babaanjera
Entertainment
3.5k
0
53:07
P9 | Mabhinya akauraya Lucky | Jose Alfonso
Entertainment
373
0
0:31
Mongoose vs Western Diamondback — Who Gives Up First? 😱🐍
Entertainment
15.9k
35
0:13
#bts
Entertainment
2.5k
2
0:20
Send this to a Christmas lover who would absolutely get one 😍🎄 #christmas
Entertainment
102.8k
98
25:24
FAMILIA Full episode [ 27 ] #love
Entertainment
8.5k
100
0:15
That plot twist though… 👀 #students #schoollife #teachers #schoolmemes
Entertainment
16.4k
100
You've reached the end
Haya Leo mimi mwenyewe Nilo ndo nimekua wa kwanza naomba like zangu 😂🎉🎉🎉🎉
Mzee mshindo umeweza baba😂😂😂😮
Like za mzee mshindo nizione hapa😋🔥🙌🏾
Wapi like za Suzi jamani Kwa kuungana na mzee mshindo😂😂
Kama unampenda Allah gonga like
Tuliotoka behind the smile tukaja huku wap like zenu
Mzee mshido😅😅wapi likes zake
😂😂😂sai bila mzee mshindo najiona mpweke ❤❤🎉
Nmeanza kumpenda mzee mshindo😂😂😂
Mzee mshindo Sahiz hataki unyongee😂😂😂😂
Napenda uigizaji wa Maman kabichi jamani😂😂😂
Toka nihaza fata Na kuja nikiwa Congo sija wahi pata like ata moja jamani kwa Nini muna ubanguzi
Wakwanz jaman naomba like na mm daa😊😊😊
Mzee tanu anakiwasha kinoma yaani ni mwendo wa kuinjoy mpaka kieleweke anaeungana na mm dondosha like tukisonga mbele
Asalam alykum vp halizenu wapendwa wap like 🎉❤🎉❤🎉❤
Hatimaye nimekuwa wa kwanza Leo jaman nipeni likes zangu
Mama kabichi,sauda na mzee mshindo mnatupa Raha jmn😂😂😂
Niwape elimu kidogo.muelewe kitu kuhusu hii series Kwann Kuna Mwenyekiti halafu kuna Tanu...sasa hivi janga kubwa ni Serikali kusema haiamini uchawi lakini pia kupiga vita Waganga wa kienyeji ukweli ni kwamba yapo matatizo yanatatuliwa kimila na mengine kiserikali ubaya kuna muda serikali inaweza kufosiwa kufanya jambo ambalo linaumiza kimila bila viongozi kujua na Mengine yakafanyika kimila yakaumiza serikali Ngojeni nikale kwanza njaaa inauma nitarudi😂
Hatimay Kipara karud jamn nilimmis 😂😂😂
Nili ku miss kipara kaka Asante kwaku rudi baba❤