NDANI YA GETI EPISODE 10
ADVERTISEMENT
Comments 82
maríacristina_deanda:
Kaka kazi iko poa sana ila tunatamani kumuona chadi akiw3mo…
More Like This
1:16
BRENDA MAHAKAMANI LEO
Comedy
276
19
3:01
KIJUMBE KAFA
Comedy
5.2k
34
29:07
HOTEL CHICAGO - Episode 4 (Yawaskits Movies)
Comedy
5.2k
100
27:08
POPULAR KIDS Ashamed Of Their Brother Ft. Steak, Cruz | Dhar Mann Studios
Comedy
19.3k
0
1:05
In 1990’s when they want to give birth vs nowadays 🤣🤣 #viralvideo #funny #comedy #relatable
Comedy
3.4k
0
2:43
#lifelesson #inspiringstories #lifeLessons #reflections #unitedstates
Comedy
15.9k
100
0:31
What to do if you have a mouth ulcer but crave spicy food!
Comedy
6.0k
14
2:58
A Bag Swap Saved His Life! 😱👜 #shorts #shortvideo
Comedy
5.2k
36
You've reached the end
Kaka kazi iko poa sana ila tunatamani kumuona chadi akiw3mo kama tunavyotamni ww kukuona kwenye geto la kushea mana huwa munatisha sana mkimechi
Couple ya dulla na madam boss inanoga sana... Likes zao hapa
ila daktar... Et kuna kinywaj ametumia,, 😄amejuaje
Leo wa kwanza
Safi sana dullah umetuwakilisha vzr mno usiache kuipiga
Kutoka sumbawanga nao tumo 🎉🎉🎉
Me mwema 🎁🎁
Nauliza tena kwanini hilo gauni la dada wa kazi habadilishi? Director anafeli wapi?
Ila mzee kayatimba 😂😂😂😂
huyo diva ndo habadilishi nguo😅
Director wahii movie nampa mauwa yake🫡🫡🫡
Wa kwanza oya like zangu
Boss anatoa mimba huku nyumbani nako Dullah analishwa na mahaba mengi 😂😂😂ila mapenzi
Mwanangu dulla KAZI naielewa San hiii
Kutoka Kenya Nairobi 🇰🇪
Kirungu Cha mlinzi kazi ipo 😂😂
Dula we endelea kupakua tu mwamba bado anahangaika na mimba huku
Kaomba tena tena hahahah aaa😅 dula
5:33 anasema mgonjwa wako alikuwa mjamzito halafu mbele anasema wote wapo salama,,
Kazi nzuri 🎉