Jaman sandra ana nidhamu sana na kazi yake anatoa kwa wakati nadhani kawazidi waandaji wengi wanao andaa tamthiliya huku YouTube kama una kubaliana na mm weka like yako π
L
liesalangern863Β weeks, 4Β days ago
mwenye anakubalian n mm mimba ya grace niya mrasta gonga like apaππππ
D
dalton_gentry3Β weeks, 4Β days ago
Mwenyezi Mungu fungua Milango ya huyu Mwenye anasoma hii comment kama kuna gumu anapitia ukalifanye lepesi na kila atakalofanya akafanikiwe π’π’β€β€β€
diego_almeida3Β weeks, 4Β days ago
Kazi nzuri Location safi Camera quality Scene zimetendewa kazi Mpo on time Hongereni Team Sandra official Kwa kazi nzuri Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki na kuwalinda sisi mashabiki wenu tunawapenda sana Ombi langu ongezeni dakika hata iwe nusu saa
A
andrew_aguilar3Β weeks, 4Β days ago
Nani atatolewa Figo π’kama si babake Sandra π’weka like kama unaamini ni yeye π’π’mungu amulinde ππ»
J
jamesrune243Β weeks, 4Β days ago
Wanaoamini Adrian na winnie ni kaka na dada like apaa π
A
abeerbath4073Β weeks, 4Β days ago
Mimba ya grace ni ya driver
K
kevin.brown3Β weeks, 4Β days ago
Naanza kuhisi baba adrian kauza figo la baba ake Sandra π’π§sijui fikra zangu mbovu
taylorsmith9243Β weeks, 3Β days ago
Hii movie kila mtu anajambo lake kama umeligundua gonga like kazi iendelee
lakshmiatlas433Β weeks, 4Β days ago
Wanaofikiri kama mimi mama yake Winnie ni semeni gonga like hapaπ ππ
R
rodneyserene43Β weeks, 3Β days ago
Wanao amini kuwa mimba ya Grace si ya Adrian ni wangapiπ’
A
andrew_martin3Β weeks, 4Β days ago
Tunao sem leo dadika ni chache tujuaje kwa likeπ
sarah_wallace3Β weeks, 4Β days ago
Wanao mkubali Sandra mko wapi tujuane apa jmn β€β€ππ
annshah4553Β weeks, 4Β days ago
Jamani wa kwanza from USA naomba like TANZANIA ππ
maanaszachariah603Β weeks, 4Β days ago
Leo nimewahi jamani πβ€β€β€β€β€ naombeni like
S
steven.leon3Β weeks, 4Β days ago
Wangapi wamepumzika na matangazo ya kiris bando bei kitonga piteni hapaβ€β€ππ
tracey_ramos3Β weeks, 3Β days ago
Siwajui wazazi wako mungu awabalik na aendeleh kuwalinda milel
N
nermin.tΓ€sche3Β weeks, 4Β days ago
Nimekuwa wapili naombeni like
K
karen_larson3Β weeks, 3Β days ago
Wanaofurahia sadra kwa kutupa furaha kwa mpigo bila ya kuchelesha gonga like apaβ€π
A
ann_lewis3Β weeks, 4Β days ago
Sikuizi ni mambo yakutoana Figo2πππππππππ janami uyu baba nae kawa kama mzee Shakru