“Mtoto wa Ajabu Mwenye Nguvu za Ajabu” ni simulizi ya kusisimua inayomfuata mtoto mdogo anayeonekana wa kawaida, lakini ndani yake amebeba nguvu za kipekee zisizoelezeka. Kadri anavyokua, anaanza kugundua uwezo wake wa kufanya mambo yasiyo ya kawaida—kuona mbali zaidi ya wengine, kusoma hisia za watu, na hata kuokoa maisha kwa njia za ajabu. Hata hivyo, zawadi hizi zinakuja na changamoto kubwa. Wapo wanaotaka kumtumia kwa maslahi yao binafsi, na wengine wanamuogopa. Akiwa katikati ya hatari na matumaini, mtoto huyu analazimika kujifunza kuitumia nguvu yake kwa busara, huku akilinda familia yake na kugundua kusudi lake halisi duniani. Ni hadithi ya ujasiri, mapambano, na nguvu ya kipekee inayoweza kubadilisha maisha—sio yake tu, bali ya kila anayemzunguka. Tags: mtoto wa ajabu, movie ya kiswahili, filamu ya kusisimua, nguvu za ajabu, mtoto mwenye vipaji, supernatural swahili, hadithi ya ajabu, movie mpya 2026, filamu za kiafrika, simulizi ya kusisimua, nguvu za kipekee, mtoto shujaa, drama ya familia, action swahili, movie za youtube, hadithi ya kusisimua, mtoto mwenye uwezo maalum, sci-fi swahili, filamu bora, burudani Tanzania #mamawakambo#babysharkdance #babysuputv
ADVERTISEMENT
Tunao mtanguliza Mungu kwa kila jambo tunalolifanya like bila chuki🙏🙏🙏
Kama unampenda baby supu like hapa from Kenya wa Kwanza from Kenya
Wa kwanza leo kutoka Kenya 🇰🇪 nipeeni likes 😅
Sijawai pata likes tangu nianze kuwatch hii movie
wenye mko Saudi Arabia kutoka Kenya Basi mnipe like ata moja 😅
Kama unaamin farida na kichi wanaenda kupendana konga like tusonge
Kwanza Leo kutoka Kenya 🇰🇪 like please
Wanao taman Tami aumbuke kama Hana mimba gonga like hapo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri xana Beby SUPU 👏🏿👏🏿👏🏿 nataka uwakoneshe hao wahuni kama unaniunga konga like hapo❤❤❤❤❤
Farida hutamuweza labda umpelekee huyo akapime mimba nakuhurumia kanoni utamkumbuka farida
Happy umeanza kumpenda sebiga
Wananiambia happy n sebiga watapendana gonga like 🎉❤❤❤ hapaaaa
Hii mimba mtapima lini
Kenyan's 🇰🇪🇰🇪no 1🎉🎉🎉
Wapi like za baby supu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉,👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
Etisia acha umbea aliekutum useme ninani umezingua olewa sasa ukayaone na ww farida ungeuza hata suti tatu za bwanako ingekua bora kabisa
Team baby supu gonga like hapa❤❤❤❤
Mpenda kucomment kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪 wapi likes zangu 👍
Team sifunaeted gonga like tukisonga❤❤❤
Leo sijawahi jamani😂😂😂😂 comment yangu ya pili