🔥 MCHONGO WA MUSA UNAGEUKA KUWA MTEGO WA NURU! 😂 Musa anamleta mjomba wake nyumbani na kumwambia Nuru ajifanye mke wake ili apate pesa ya mahali. Lakini mpango huo unaanza kwenda kombo pale Nuru anapobebeshwa kila kitu—kuosha vyombo, kupika na kuficha ukweli. Je, Musa atafanikiwa kupata pesa au huu “mchongo mchongoma” utawagharimu wote? 😳🔥 Usikose Episode inayofuata🔥🙌 🎬 A HOMES FILM Production ✍🏾 Written by Nyaki © 2026 HOMES FILM
ADVERTISEMENT
Mambo vipi? Karibu kwenye Familia ya "GETO LA KUSHEA" Na Hii ni Sehemu ya Nne ya Vicheko....Usisahau Kulike, Kucoment na Kushare MAONI BINAFSI Tuma Ujumbe Kwa Namba +255658180631 Saidia, Changia uzalishaji wa episodes zijazo, unaweza kutuchangia kwa hiari kupitia namba: +255766007748 Mkasa Richard Mkwaruzo Kila mchango, mkubwa au mdogo, unasaidia kuendelea kutengeneza story hizi. 🙏🏾 Asante kwa ku-support kazi yetu.
Bobge moja la seriess👊
Kama masihara lakini hii chombo ina kua ya chard
Dah jina la Mussa lipo huku 😂😂😂
Leo kazingua kweli Milioni 70 sio mchezo ungemnunua yeye na nyumba yenyewe
Hii series Tamu kubabake 😂😂😂😂😂
Sema mwanangu hii umewaza mbali sana iko poah kinoma 💪💪
Yan mumekiwasha sana nimemaindi sana
mjomba mlafi😂😂❤
Tabia za wajomba last born 😂😂
Mademu ninao wakubali Tz Doreen aka Nuru na Diva the Eyes wa Ndani ya Geti salute 🫡 kwao. Afu Chard series yako ni mwecheche from +254
Mussa we mjanja sana hy jamaa wa malekan mpge chin mapema
Inshort nimecheka😂❤🔥
Duh hii na zaidi mwambie Nuru atumie akiri mbona anatukosesha ela ya anko Wa katoro 😂😂😂😂
Tuko pamoja mpaka umuoe😂😂😂
Here from mbarali mbeya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Mjomba kasaaw mkongojo wake😂
❤❤Owa chado una fail wap piga mfurulizo Ep 100
Leta nyingine zaid bhna 😂😂 Bonge Moja la series 🎉🎉
Like zangu wazee