DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Kama una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
watu wa sifuna piga likes tukisonga 🎉🎉
mwanamke wote atakae soma comment yangu napenda nimuoe
Tammy simpendi ana Mdomo Mrefu hatari
Mnatuuthi sana asa leti
Natamn letesia aolewe na beni Janet aachike jmn naomba iwe ivo au hamtki kuniunga mkono mm nnachosem
Nakupeda letisia🎉🎉🎉🎉❤❤
Ata like moja wakuu
Hii movie kila mtu anampenda mtu ambae hampendi😂😂😂 kwishaaa
Nimewah leo naomben like hapa❤🎉🎉🎉
From kenya 🎉🎉🎉
Kazi Kwa wakati hakuna kusahau🎉🎉🎉🎉
Imepangwa vizuri kabisa...
Safi sana sister farida hpo sawa , canon wa kwako 😅
Wa kwanza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Koo leo warundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wamekuja hapa
Na beni huyu janeti amekushinda
Hakuna siku Janet utafaniwa na hiyo roho yako mbaya😂❤❤❤❤
Leticia kinaudhi akili hana anasaidiwa af na alivyo kua mshezi n kumbembewa akili na janeti eti ataki mambo na police, kaa kajingaaaa 💔
Sjachelewa xna jamani like zenu apa