ALLY KAMWE "WATU WAJIANDAE WATALIA SANA/MANGUNGU NDIO SIMBA WENGINE BMT HAIWATAMBU/
ADVERTISEMENT
Comments 13
rodneyserene4:
Mwenyeezi Mungu azidi kuwalinda na kuwaepusha na majeraha w…
More Like This
9:14
MCHOME MAPOVU APAGAWA\HII SIMBA HAIFIKI HATUA YA MAKUNDI\SIMBA TUNAMUHITAJI SELEMANI DOUMBIA HATOSHI
Sports
91
20
14:26
GB 64 APAGAWA NA GOLI LA ANICET OURA, MIGHTY WONDERERS vs SIMBA
Sports
177
0
38:06
Ian Wright Goes Crazy! 🔥 Arsenal vs Chelsea 2-1 Arteta Smashed Alonso | All Reactions
Sports
2.2k
100
23:46
Arsenal vs Chelsea 2-1 The Defending Champions Staged A Comeback💥 Odegaard And Konsa Crazy Reaction
Sports
1.3k
0
5:21
Arsenal vs Chelsea 2-1 Highlights & Goals | Premier League 2026/27
Sports
1.1k
0
0:13
RICE ➡️ ODEGAARD ➡️ SAKA ➡️ MERINO ➡️ GOAL!
Sports
4.1k
32
14:21
‘Martin Ødegaard looked SUBLIME!’ 🤩 Arsenal backed for another title after Chelsea win | ESPN FC
Sports
882
84
14:40
Arsenal looked 'super strong!' - Craig Burley's takeaway from 2-1 win over Chelsea | ESPN FC
Sports
1.0k
0
You've reached the end
Mwenyeezi Mungu azidi kuwalinda na kuwaepusha na majeraha wachezaji wetu naamini mwaka huu tunaweza kuishangaza Africa 🌍 kwenye michuano ya CAF Champions league
Sahihi kabisa maana hata kocha mwenyewe alikua akilalamika kana kwamba anachokitaka timu ifanye bado hakijafanikiwa,, so naiona yanga ile ya tano tano
HII YANGA YA MWAKA HUU. INAVO ELEKEA.... NAIONA ILE TIMU ILIO KULA TANO WATAKUJA SUSUA MECHI UWANHANI
Tulianza na goli 1 tumekuja 3 tukaja 4 next ni 6 yanga hii mwendo wakibingwa
Nimekaa pale
Moto wq jana hatari mm mwanayanga nina furaha
Hivi uyo anaye record na cm haoni kama imepinda 😂😂😂
Aisee jaman ule moto tuliowapelekea mmeuona wana yanga skia chemistry bado haija match vizur yule shasha man bado ajapata malisho vizuri typical namba 10 kama azizi ki yule ndo kazi yake kuwafanya washambuliaji wapate mipira ila dah kwa hii kasi aisee utatoa utoii😂😂😂 mwaga moto coast watalala
Kizungu shida,nilisikili interview yake!Alafu yote eti eeeeee.Kajifunzeni kingereza ndo maana juzi alitoa mfano wa watoto kupiga kelele darasani! Ikifika kipindi cha maswali wooote kimya!
Iyo FVS ya nini kama mtu kashika ndan ya box dakika ya 3 na hakuna penalty na offside ya dakika ya 14 sio offside
Wwe na gsm ni mafisad
uhakika ila huyu mwandish analeta hoja za hovyoo
yanga ijayo sijui😱😱