Mabingwa watetezi, Yanga SC wamewachapa Coastal Union mabao 4-1 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yametoka kwa Albert Kangwanda, Maxi Nzengeli, Mudathir Yahya na Mohamed Hussein Zimbwe Jr. Goli pekee la Wagosi wa Kaya limefungwa na Gradi Kiala Lassa. Tazama Highlights
ADVERTISEMENT
Yanga 🎉🎉🎉
Kwa wanaomjua mudathir watakubaliana namimi kuwa amebadilishwa sana na manqoba (Yuko flexible, anajua kufanya turn kwa haraka)
Sawa tumeshinda ila wachezaji acheni uchoyo wa pasi kwa shasha man
Zakwani ajitathmini na awe na utulivu yeye na kipa hata kumchambua au kutafuta angle,ajitathmini daima mbele nyuma nyuma mwiko,hao makocha wanaokuja hawafundishi jinsi ya kupiga kukiwa na block,mazoezini tunahitaji mafunzo mengi kimataifa
Nimependa kuona Mohammed Hussein anacheza kama winga... na amefunga 🎉🎉
yanga bingwa
Migoli kama ps 2 noma
Hahahahahah yangaaa bingwaaaaaa 💚💛
Iove yanga African 🎉 home of me is Rwanda 🎉🎉🎉❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 love shallurire piter
Tusameheen sana wana mangushi coast💚💚💚😄😄mmekutana na yanga wakt mbaya sana apo bado ss shukruni mno zilikuwa goli 8 apo
Ila sha sha man ana Roho saff jamn kila gool amefrah xanaa
Yanga bingwa 🎉🎉🎉
Yangaaaaaa bingwaaaaaa💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🙏🙏🙏
Mashaallah shiti raha nakuomba Allah wazidishie Kheir na mafanikio Timu yangu Inshaallah
Mbali ya kwamba ni deflection lakini Diara aliondoka mapema pale center sijui alikua anawaza wapi, kimataifa huko shughuli itakua nzito inabidi ajiangalie. Yanga Bingwa.
mabeki wa coastal walifanya makosa mengi sana haswa ktk ball clearence
Yanga nahatari sana wachezaji wanajitahidi sana wanajituma sana
Ooyah Hussein Zakuani sio poa
Naipenda yanga kuliko x wang
Miguu ya meza😂😂😂😂