FVS ni nzuri sana na imekuja wakati sahihi, kinachotakiwa ni marefa watafsiri sheria bila kupindisha, pia Azam wajitaidi kuisapoti FVS kwa kuweka kamera nyingi ili hiwe rahisi kung'amua matukio yote kwa usahihi.
M
matthewpalmer7202 weeks, 1 day ago
Mzeee Side big up sana, nakukubali mzee wangu..
L
luz_mireles2 weeks, 1 day ago
Mzee said nzee saidi mzee saidi samahan usituondolee enginia wetu
C
corinne.daniel2 weeks, 1 day ago
Chapesa tafadhali naomba namba ya mzee saidi ananikosha sana nimtumie hata vocha.
L
luz_mireles2 weeks, 1 day ago
Wanyumbani Mzee Said Mimi Ni Shabiki yako Nakuelewa sana tu😂😂😂😂😂😂
R
ross.craig2 weeks, 1 day ago
Hz kadi nyekundu na sisi Yanga tuweni makin sana Bacca, Duke, Diarra hasa akifungwa, Max kidogo viongoz wazidi kukaa na wachezaj zisije zikatugeukia na sisi TUSIJISAHAU
Z
zoé_rousset2 weeks, 1 day ago
Mzee said uko sawa kabisaa
L
liesalangern862 weeks, 1 day ago
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee wangu nafrahi sana kukusikiliza
thibaultpixel542 weeks, 1 day ago
Uondoe furaha ya Yanga weeeeeeee
D
daniel_wali2 weeks ago
Mzee Said Pole cna mzee Wang heshm yko mzee wang👏👏👏👏
eloah_damata2 weeks, 1 day ago
Wapo ila hamujawapa nafasi mzee saidi😂😂
A
andrew_aguilar2 weeks, 1 day ago
Hahaaa mzee leo katukana😂😂😂😂
steven.gonzalez2 weeks, 1 day ago
Au mim ndio sijaelewa mbona anasema wamepishana na mama muuza vifurushi kwamba mama ni simba,kwahyo mzee we yanga si ndio?
B
brittany.gutierrez2 weeks, 1 day ago
Side🎉🎉🎉🎉🎉
A
agathe_prévost2 weeks, 1 day ago
Mzee Mamluki
L
laurencebailly2562 weeks, 1 day ago
Kweli mpira umevamiwa yaan Matlala unasema ni WA kawaida? zee Lina uoga
ross_shepherd2 weeks ago
Uncle wng Mzee Said,mbona hivoooo !,mnyama una ALAMA 6 bado HUNA SHKRN,muhimu c alama 3,acha geresha buana,YANGA BINGWA !!!!!.
FVS ni nzuri sana na imekuja wakati sahihi, kinachotakiwa ni marefa watafsiri sheria bila kupindisha, pia Azam wajitaidi kuisapoti FVS kwa kuweka kamera nyingi ili hiwe rahisi kung'amua matukio yote kwa usahihi.
Mzeee Side big up sana, nakukubali mzee wangu..
Mzee said nzee saidi mzee saidi samahan usituondolee enginia wetu
Chapesa tafadhali naomba namba ya mzee saidi ananikosha sana nimtumie hata vocha.
Wanyumbani Mzee Said Mimi Ni Shabiki yako Nakuelewa sana tu😂😂😂😂😂😂
Hz kadi nyekundu na sisi Yanga tuweni makin sana Bacca, Duke, Diarra hasa akifungwa, Max kidogo viongoz wazidi kukaa na wachezaj zisije zikatugeukia na sisi TUSIJISAHAU
Mzee said uko sawa kabisaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee wangu nafrahi sana kukusikiliza
Uondoe furaha ya Yanga weeeeeeee
Mzee Said Pole cna mzee Wang heshm yko mzee wang👏👏👏👏
Wapo ila hamujawapa nafasi mzee saidi😂😂
Hahaaa mzee leo katukana😂😂😂😂
Au mim ndio sijaelewa mbona anasema wamepishana na mama muuza vifurushi kwamba mama ni simba,kwahyo mzee we yanga si ndio?
Side🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee Mamluki
Kweli mpira umevamiwa yaan Matlala unasema ni WA kawaida? zee Lina uoga
Uncle wng Mzee Said,mbona hivoooo !,mnyama una ALAMA 6 bado HUNA SHKRN,muhimu c alama 3,acha geresha buana,YANGA BINGWA !!!!!.
Mzee side ww mtu😂😂😂😂,huwa hufichi makandokando
Mzee anajua mpira sana 😮😮
Mzee saidi kavaa jezi ya yanga african