SALAMBA- MATUKIO TATA SIMBA VS SINGIDA BS | WAMEBEBWA HADHARANI HII FVS HAINA MSAADA WOWOTE FYUUUπ‘
ADVERTISEMENT
Comments 100
michelle.ortega:
Saiz ndoinafahamika Nani alikua anabebwa nanani habebwi tutβ¦
More Like This
9:14
MCHOME MAPOVU APAGAWA\HII SIMBA HAIFIKI HATUA YA MAKUNDI\SIMBA TUNAMUHITAJI SELEMANI DOUMBIA HATOSHI
Sports
91
20
14:26
GB 64 APAGAWA NA GOLI LA ANICET OURA, MIGHTY WONDERERS vs SIMBA
Sports
177
0
38:06
Ian Wright Goes Crazy! π₯ Arsenal vs Chelsea 2-1 Arteta Smashed Alonso | All Reactions
Sports
2.2k
100
23:46
Arsenal vs Chelsea 2-1 The Defending Champions Staged A Comebackπ₯ Odegaard And Konsa Crazy Reaction
Sports
1.3k
0
5:21
Arsenal vs Chelsea 2-1 Highlights & Goals | Premier League 2026/27
Sports
1.1k
0
0:13
RICE β‘οΈ ODEGAARD β‘οΈ SAKA β‘οΈ MERINO β‘οΈ GOAL!
Sports
4.1k
32
14:21
βMartin Γdegaard looked SUBLIME!β π€© Arsenal backed for another title after Chelsea win | ESPN FC
Sports
882
84
14:40
Arsenal looked 'super strong!' - Craig Burley's takeaway from 2-1 win over Chelsea | ESPN FC
Sports
1.0k
0
You've reached the end
Saiz ndoinafahamika Nani alikua anabebwa nanani habebwi tutaelewana Tu
Tena huoni hata aibu, kutowa maneno ya upuuzi.
Huyu salamba namsikiliza kwa bahati mbaya sana maana siyo mchambuzi ni kuongelea ushabiki tu wa Yanga.
Pole sana Salamba ushindi wa Simba unakuumiza sana. Maneno yako kwa refa hayana weledi na hustahili kuhojiwa na chombo cha habari.
Tuambie ourra alianguka kwa nini,π π π π π salamba bwana unateseka sana , mbona bado mapema sana ,utafika kweli mwisho, utakufa na kihoro cha simba weweππππππ
Salamba ok tunakuelewa ila acha uyanga huna zuri Kwa simba
Salamba utaumia Sana mwaka huyu.
Kaka uko sahihi barefaced wanamapenzi na team kubwa
Safari hii tuniga mtu na wifi yake
Wanasimba mnaosema ile ni penalty wote ni matako2, penalty penalty which, sometimes tunaacha ushaabiki pembeni tunaongea fact, sasa FVS ndo hiyo mtaumbuka sana na ushindi wenu wa matukio ππππ
Kwa hiyo beki alicheza mpira
Familia ya mpira Tanzania,nawaomba sana tuupende mpira wetu kwa misingi ya amani viongozi mnaelewa kuwa kila timu inatumia gharama kubwa sana kuziendesha.Timu zinzibebwa haisaidii kukuza mpira wetu waamuzi hawafutwi kazi ndiyo maana hawaogipi kutenda huo upuuzi unaoshangiliwa na viongozi wa mpira mwisho wekezeni tuone anayemudu
Ie Na Kwa Mpanzu Vipi Hile Ni Penati Au Sio Boya Kwelikweli
Halafu kwa nn huongei penalt ya Mpanzu? Hakustahili? Acha mahaba
Kwahiyo kama siyo penalty ingekuwa faulo au acha uyanga
Fala kabisa wewe
Ukitaka kuwa mchambuzi wa mpira usiwe na upande ingekuwa kwa yanga usinge sema maneno hayq
Alienda kuwaomba radhi benchi la simba
Salamba ww ni mpumbavu sana ndio maana ulitoka azam kadi zetu unakumbali lakin penalty ndio unachambuwa ila ww salamba nimegundguwa ww ni yanga
Wewe salamba ni yanga ushindi wa simba utakuuma sana msimu huu, kachezeshe wewe.