Ukweli ni kwamba viungo wa simba wanakaa sana na mpira badala kupigw pasi za haraka mbele.Mpanzu Aura wana mambo mengi
B
bryanmyst973Β weeks ago
Ile ya Mligo siyo kadi nyekundu,, nitakataa mpaka mwisho..
I
ianvoid393Β weeks ago
Kweli kabwe wew nakuerewa sanaa. Wachambuzi wengi machawa nabaazi ya washamba wasimba. Wengi walimkataa chirambo. Lakin wew ulimkubali mapemasanaa. Kak ubalikiwe. Unatowa erimu kwa akina ambokire simba nguvu 1.
J
jilllewis3303Β weeks ago
Ile sio kadi nyekundu, marefa waendelee kua makini.
M
meghana_bobal3Β weeks ago
Chilambo zimaman!!! Dogo anaweza
kristen_brooks3Β weeks ago
Kabwe unatsha
babyberry3Β weeks ago
Mtalemwadenisi,Acha wivu mkundu wew kama unaumia chomoa
D
dimitrios_bonbach3Β weeks ago
Huyo ni Simba hawezi sema ukweri
gabinoirizarry3903Β weeks ago
kk yuko vizuli ucho umekuwa mkubwa sana pale mbele
R
reynaldo_godΓnez3Β weeks ago
Mkipigwa na Singida mnasema katumwa leo kajiachia mnapongeza ubora wa litimu Hilo Hata penalty haikuwa na uhusiano na mguso kivileeeee... subilini kuna sehem mtasema na kuanza jiesimu
I
irmela_bΓ€rer3Β weeks ago
Katika wachambuzi wabovu wewe namba moja
G
georgesnight773Β weeks ago
Wewe mtangazaji ni mtu wa kuuliza tu sio kusema penalty sio ya nini.acha ushabiki wa kijinga
Mimi pia nilikuwa, najua kama Nathaniel yupo vizuri,, lkn sikudhani kama dogo anauwezo kiasi kile,. Dogo leo kauzima kweli kweli dear..
Nakukubali sana brooo