©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM APA: REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us [email protected] Welcome to REAL in the right place, by accessing Entertainment, Fashion and Sports news from within and outside the borders of Tanzania, our goal is to provide you with reliable and accurate information. Please click the SUBSCRIBE button to become a family member of this channel
ADVERTISEMENT
WALISHAZOEA KUBEBWA
Hakuna simba wamezoea kufanya ujinga.
Kama mmeshindwa la kuongea kaa kimya
kwan anaetakiwa kuona tukio nan ?
Simba ndowalikua wanayataka haya wao wangeacha vilevile wasilalamike wangeacha tuzulumiane vilevile ka mwanzo.
Simba hawaishi 7bbu walianza kuwasema marefa leo imeletwa video sapot wao wameonekana kuwa wanafanya makosa mengi saiv imekuwa haifai kilichobakia t ni bodi ya ligi kuwapa Simba nafasi ya kuchagua marefa wanataka waje wachezeshe mpira
Tunaomba hivo video wanashndwa kuvisoma vzr
Aache zake haki tunaitaka kama wanasimba
Yuko sahihi kwani mliangalia mechi ya yanga na cost baka alimpiga sehemu nyeti mchezaji wa cost
Masikitiko.Huhisi kuonewa kila ligi
Wew unapinga maamuzi ya but ww chawa wa mo
Anaikataa WAKATI imempa PENALTY
Magori hamna kiongozi humo
Huyo mshabiki wa simba kwanza hajui mpira na cheo kimepeperuka
Wanacheza rafu sana na hawana nidhamu
Kinachotakiwa ndio muamuzi anaenda kutazama ilo kosa sawa pia inatakiwa na sisi watazamaji tuonyeshwe ilo tukio kwenye tv uwanjani kila mtu analiona ilo kosa aliotolea uamuzi refa sio anaenda yeye kutazama alafu anarudi kutoa uamuzi sisi atuonyeshwi watazamaji uwanjani katika tv ilo tulio lililo amuliwa ilo ndio tatizo lazima tuoneshwe pia ile jamani lile kosa alilofanya mchezaji furani ndio ili nimeamua kutoa kadi nyekundu au njano au sio kosa tuifute kadi yake aliopewa yule mchezaji mwingine alidanganya kujitupa ajafanyiwa faulo ndio ivyo inavyokuwa kila mechi wenzetu